Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Unataka ukimbie majukumu. Baba sio jina la ubatizo baba ni majukumu.
Mkiwakimbia wakifanikiwa mnaanza oo huyu ni mtoto wangu hanitunzi we ulimtunza. Upendo unajengwa hauoti tu kama magugu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umedandia boti ya vibwengoHabarini za asubuhi waungwana.
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa.
Turudi kwenye mada,
Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia.
Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji kuachana kabisa na huyu mzazi mwenzangu, KABISA, isiwepo hata chembe ya mawasiliano.
Je, inawezekana kwa umri wa huyu mtoto? Kama inawezekana naomba ufafanuzi wa hatua za kuchukua ili mtoto awe katika mazingira salama. Pia Kama haiwezekani (DAAH) japo itaniumiza nishaurini cha kufanya sababu nipo mwisho.
NB:
Huyu mtu hatuishi pamoja, anaishi na mtoto na mimi naishi kivyangu ila nahusika kwa kila kitu kuhusu yeye na mtoto.
Ahsanteni.
Nina amini dini uliyonayo inafudisha kuwa zinaa ni dhambi,na hakuna dhambi isiyo na concequences,hayo unayoyapata ni madhara ya hiyo zinaa,yani umetembea tu na mwanamke kwa nia ya kufanya starehe na siyo kwamba ulikuwa unampenda,mwisho wa siku mimba imeingia unaanza kupiga kelele,sina kingine cha kukushauri,kifupi unalolipitia unalistahili...Kifupi sisi sio wanandoa mkuu. Ni kwamba nimempa mimba na tukakubaliana nitamtunza mpaka mtoto akifika umri wa kwenda shule namchukua mtoto maisha mengine yanaendelea.
Mahusiano Mimi na yeye yamekoma tangu akiwa na mimba ya miezi minne baada ya kuona mambo yanakuwa mengi Mimi nikabaki kumhudumia tu
Yes mkuu hapo umejaa kwa hio huo mzigo ni wako ushajitwisha anza na moja mlianzia wapi ili ujue njia ya kurudiaAisee nimekubali, unaweza kujitunza, ukawa smart katika Kila ufanyalo ila ukaja kujaa sehemu ya kifala sana.
Pipi na ganda hainogiHivi mnajua mngekuwa mnatumia kinga hadi pale mtakapokomaa akili ingekuwa poa sana na mngeiepusha dunia na matatizo mengi sana!!
Au kama vipi kuna wenzio wako kwa sijui NOFAP huko, ungejiunga nao ingekuwa fureeesh kweli.
Sasa ttz liko wapi kikubwa hauishi nae nyumba moja endelea na mambo yako uwe unamtumia matumizi tu au shd kipi?Kifupi sisi sio wanandoa mkuu. Ni kwamba nimempa mimba na tukakubaliana nitamtunza mpaka mtoto akifika umri wa kwenda shule namchukua mtoto maisha mengine yanaendelea.
Mahusiano Mimi na yeye yamekoma tangu akiwa na mimba ya miezi minne baada ya kuona mambo yanakuwa mengi Mimi nikabaki kumhudumia tu
Ohoooooo!! Hapo umezaa nae tu anataka kukupelekesha hivo!!!!Huyu mdada kipindu amebeba mimba, alisitisha huduma zote alizokuwa akijihudumia na kusema nimhudumie Mimi coz nimempa mimba, nikakubali. Akahama alikuwa amepanga(vyumba viwili na sebure) akahamia nyumba mzima, Kodi kwangu, nikakubali. Akalazimisha nitoke kazini nikaishi nae au nihakikishe Kila baada ya wiki naenda kumuona kitu ambacho hakiwezekani Kwa mazingira ya kazi yangu. Hapo ndipo mtiti uliopoanza.
Akaanza kwenda Kwa waganga usiku na mchana. Huko akaambiwa Mimi Nina mke na watoto wawili ndio maana siendi kwake muda mwingi nipo Kwa hiyo mke wangu(kifupi Mimi sijawahi kuona na hiyo mtoto wake ndio mtoto wangu wa kwanza).
Ikafika kipindi akahamia kabisa Kwa huyo sijui ndo ostadh sijui vitu gani Kila siku ni kupigwa Dua ili nirudishe mapenzi kwake niachane na huyo anaedai ni mke wangu. Kwangu nikawa nachukulia Kama ujinga flan tu. Mambo ni mengi mkuu.
umesoma andiko vizuri? hasa aya ya mwisho?Unataka ukimbie majukumu. Baba sio jina la ubatizo baba ni majukumu.
Mkiwakimbia wakifanikiwa mnaanza oo huyu ni mtoto wangu hanitunzi we ulimtunza. Upendo unajengwa hauoti tu kama magugu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nishakaa nae chini zaidi ya Mara tatu mkuu. Ni kwamba ana jeuri kubwa sana na hakutegemea Kama naweza kutengana nae. Alifanya yote hayo kunikomoa mpaka kuacha kujihudumia kuanzia Pichu mpaka Kila kitu ilihali anafanya kazi.Ohoooooo!! Hapo umezaa nae tu anataka kukupelekesha hivo!!!!
Umejaribu kukaa nae chini mkayajadili ???
Nimefanya hivi tangu mimba ikiwa na miezi minne mpaka Sasa. Ila Sasa naona kabisa mtoto wangu atakuwa katika malezi mabovu mikononi mwa huyu mama.Sasa ttz liko wapi kikubwa hauishi nae nyumba moja endelea na mambo yako uwe unamtumia matumizi tu au shd kipi?
Nashukuru sana mkuu. Ubarikiwe sana.Yes mkuu hapo umejaa kwa hio huo mzigo ni wako ushajitwisha anza na moja mlianzia wapi ili ujue njia ya kurudia
Kingine mwambie mambo ya shiriki aache au apunguze kabisa, hana dini? Au ana abudu uchawi tu? Haamini uwepo wa Mungu?
Kwa kua ushamgundua kua yeye ni chizi fresh nenda nae polepole usibadirike haraka fanya maamuzi polepole maana machizi fresh ukiwabadirikia haraka hua wanashtuka sana maana wao hua wana picha zao za mtiririko wa matukio yako, yaan yeye anajua nikifanya hivi kinachofuata ni hiki
Ushaelewa?
Sasa huyo ameshaona amekupanda kichwani Ndiomana!Nishakaa nae chini zaidi ya Mara tatu mkuu. Ni kwamba ana jeuri kubwa sana na hakutegemea Kama naweza kutengana nae. Alifanya yote hayo kunikomoa mpaka kuacha kujihudumia kuanzia Pichu mpaka Kila kitu ilihali anafanya kazi.
Hiyo iko akilini mwako tu.Pipi na ganda hainogi
yaani wewe unatakiwa uhasiwe....sex is responsibility. Ulidhani ni starehe tu?Habarini za asubuhi waungwana.
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa.
Turudi kwenye mada,
Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia.
Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji kuachana kabisa na huyu mzazi mwenzangu, KABISA, isiwepo hata chembe ya mawasiliano.
Je, inawezekana kwa umri wa huyu mtoto? Kama inawezekana naomba ufafanuzi wa hatua za kuchukua ili mtoto awe katika mazingira salama. Pia Kama haiwezekani (DAAH) japo itaniumiza nishaurini cha kufanya sababu nipo mwisho.
NB:
Huyu mtu hatuishi pamoja, anaishi na mtoto na mimi naishi kivyangu ila nahusika kwa kila kitu kuhusu yeye na mtoto.
Ahsanteni.
hahahahaPipi na ganda hainogi