404 Pages
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,703
- 2,963
Kuna watu wanahoji sababu nadhan umeshaziweka wazi hapo ingawa mengine mengi hujayaelezaWewe jamaa una akili nyingi sana. Huo ndio ukweli na nimekubali kubeba Kila aina ya jukumu kwake na kwa mtoto lakini naona mapichapicha. Na wasiwasi wangu mkubwa ni hizi tabia za kishirikiana, kiburi, ujinga uliopitiliza na mengine mengi. Natamani nimtoe mtoto wangu mikononi mwa huyu mama ili akapate malezi sehemu nyingi.
Hili ndilo lililofanya Mimi kuja hapa.
Ila nikwambie kitu kimoja km umeteleza ukamtia mimba huyo ni wako haijarishi ni mshirikina au ana kiburi na mengineyo ila huyo ni wa kwako kwa hio nenda nae sawa angalia yeye anataka nini kile ambacho una uwezo nacho mfanyie usichokua na uwezo nacho usimfanyie
Nitakupa mfano wa mwanandoa mmoja ni ndugu yangu, yeye kuna kipindi alikua ana shida ya km 2 Million, aliekua anataka kumkopa akamwambia njoo uchukue nyumbani kwangu zipo, Jamaa akaongea na mkewe akamwambia anaenda kuchukua/kukopa 2 Million kwa mtu fulani kwa ajili ya matumizi ya hapo nyumbani, mwanamke akamwambia km anataka kwenda kwa mahawala zake kwa gia hio hataki aende popote akiondoka tu ajue na yeye akirudi hamkuti,
Basi Jamaa ikabidi apige simu aeleze kwamba zile pesa hatozifuata akaulizwa imekuaje akasema mkewe amesema asiende kuzichukua kwa hio amechukua maamuzi hayo ili kuepusha Shari,
Ndoa nyingi unazoziona zinaendeshwa kisharishari yaan linazushwa jambo la ajabu tu ambalo hukulitegemea anytime anything can happen mda wowote kinaweza kikanuka
Tukija kwenye suala la mtoto, inaonyesha wazi weewe ulikua unataka kujipooza tu na sio kuzaa na huyo mwanamke, sasa imekuaje umeanza kuganda unamtaka mtoto awe wa kwako peke ako na sio mtoto wa kwenu wewe na yeye?
Hapo ndipo ninapokosa uelekeo
Nitarudi tena mkuu..