Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

Aisee sijui alijenga huyu mtu? Kuanzia mwezi Jana tareh Kama 10 mpaka juzi tarehe 9 mwezi huu nilivyokwenda kuchungulia acc kidogo nizimie.
Kidogo uzimie ilikuaje mkuu ulikuta kafanya usafi kwenye account yaan kafagia kila kilichokuepo humo kwenye account ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimefanya hivi tangu mimba ikiwa na miezi minne mpaka Sasa. Ila Sasa naona kabisa mtoto wangu atakuwa katika malezi mabovu mikononi mwa huyu mama.

Mchukue umlee mbona rahisi tu
 
Huyu hapa mpuuzi mwingine anataka kutuletea panyaroad!!
 
Kidogo uzimie ilikuaje mkuu ulikuta kafanya usafi kwenye account yaan kafagia kila kilichokuepo humo kwenye account ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni majonzi matupu, mpaka unajiuliza alikuwa ananunua Nini hasa.
 
Duh! Ulimpa hadi card ya bank aisee
Ndio mkuu, ni acc ya pembeni ambayo sikuwa hata na mishe nayo sana ila Sasa alichokifanya humo Mungu pekee anaweza kuwa shahidi. Nikitaja kiasi alichotumia ndani ya hizo siku(Kama mwezi) hakuna binadamu anaweza kuamini kirahisi.

Nadhani atakuwa kafanya kitu Cha maana kwa Siri coz nimekuta alikuwa anatoa hela Kila siku, sometimes Mara mbili mpaka tatu Kwa siku Moja.
 
Kaona una pesa anafanya kusudi, hebu m cut off kwanza kidg, nyonga matumizi usimpe pesa
 
Ni majonzi matupu, mpaka unajiuliza alikuwa ananunua Nini hasa.
Hao ndio wanawake,

Kwa hio ndio hivyo mkuu wewe ulishayavulia nguo maji sasa endelea kuyaoga hakuna namna hio ngoma ni yako ushaianika juani acha iendelee kuwamba

Naweka kalamu chini...
 
Unatoa lecture mkuu usimpe hata password
 
Nashukuru Dana mkuu.
1. Sipo tayari kuishi nae na hili tulishawekana wazi tangu tunaanza haya mahusiano.

2. Nina uhakika nayo kwa asilimia 100
3. Nilimuuliza kwanini anaenda kwa waganga akajibu Kama ifuatavyo, "niliona hutaki kuja kwangu kazi imekuwa kutuma pesa na matumizi Kama Mimi housemaid wako, nikaamua kwenda kuangalia tatizo ni nini. Nikagundua una mke na watoto wawili umempangishia Mwanza. Kwahiyo muda mwingi unaenda kwa huyo mkeo kwangu hutaki kuja, hata Kama hunioi huwezi kunidharau kiasi hiki"

4. Kwakweli sikuwa na plani yoyote mkuu ikitokea tu Kama bahati(nzuri/mbaya). Tulikutana semina.

5. Mtoto ni wangu.
 
Huyu dada kiumri atakua bado mdogo
Pili anaendeshwa na mtu au kikundi cha watu wanaomshawishi afanye hayo anayoyafanya kwa kujazwa ujinga
Yaweza kua ana mapenz ya dhati na wewe ila peer presha nazo zinachangia kumfanya awe hivyo alivyo
Kwa ustawi wa mtoto kama unaweza kamuhamishe huko anakoishi maana

Sent from my ANE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wanawake,

Kwa hio ndio hivyo mkuu wewe ulishayavulia nguo maji sasa endelea kuyaoga hakuna namna hio ngoma ni yako ushaianika juani acha iendelee kuwamba

Naweka kalamu chini...
Nashukuru sana boss kwa muda wako. Siku nikifanikiwa kupata jibu la kudumu nitakujulisha.
 
Kiumri ni 23, pia Hilo la kikundi Cha watu amewahi kunigusia staff mwenzie kwamba Kuna watu wanamjaza aolewe na Mimi kwa gharama yoyote.
 
Wewe ke au me, na kuacha mke,? achana nae
 
Wewe ke au me? achana nae fast kimbia nduki nene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…