Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭


Tunasaidia ziada tuliyonayo, yaani watoto hawajala ila upo busy kutoa msaada? Na tunafundishwa kutoa bila kusubiri kulipwa, tutor tu, ila mkuu lazima kuangalia maana matapeli wamekuwa wengi sana.

Shemej Seran kwan huyu jamaa alikunywa bia gan? . Mbona hangover haiishi ili aje atoe mrejesho kuwa Ni kweli alienda Kumzika Mama yake.
Inatisha sana unapelekea familia yako ,watoto mke kipato cha aina hiii??? Mwenye moyo wa kutowa Allah humuongezea. Bahresa anamwaga pesa kusaidia wasiokuwa nduguzake, na wala hajakuwa masikini. Ni bora kuwa upande wa kutowa kuliko kupokea.
 
Ww umejuaje ni tapeli? Una proof yoyote kudefend ur argument...
 
Ww umejuaje ni tapeli? Una proof yoyote kudefend ur argument...
Wenye VAR humu walishafanya VAR check. Lakini pia mtu aliyesaidiwa na wanajf angeshajitokeza baada ya kupata msaada, huyu kakimbia mazima, hajarudi tena tola watu baadhi waanze kushtuka.

Lakini kingine mkuu, watanzania tumezoea kutapeli na kutapeliwa. Kama wewe una hela ya kutoa tu bila kuhakiki it's good for you, japo naamini baada ya kutoa ukijua uliyempa ni tapeli utafurahi maana watz hatutumii akili kufanya mambo.
 
Nilichojifunza hapa ni kwamba. Unapokuwa mtu mzima jitahidi sana uwe na cicle yenye manufaa. Hata ukipata tatizo dogo kama hili la kukosa nauli watokee hata watu wawili wanaoweza kukusapoti.
Pia tujifunze kujitoa kwa watu wengine wanaotuzunguka ili likija kukutokea la kwako waweze pia kujitoa kwako.
Maswali ni mengi sana ya kukuuliza ila kwasababu umefiwa mimi nakupa pole, naamini hapa atajitokeza msamaria mwema.
 
Ok
 
JF kuna wajuaji, mwanaume mzima badala ya kujishughulisha na maisha yake, anafuatilia kila hatua ya watu wengine. Mengine bwana, ni aibu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…