Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sina nitabaki hukuhuku mpaka nipate nauli🥲Upo na nauli ya kurudia?
Sina nitabaki hukuhuku mpaka nipate nauli🥲Upo na nauli ya kurudia?
Ufanye saidia fundi,Sina nitabaki hukuhuku mpaka nipate nauli🥲
Ngoja niangalie kibarua aisee😅Ufanye saidia fundi,
Hicho kibarua, ukitafutie na kibahasha kabisa😂Ngoja niangalie kibarua aisee😅
Coco umeacha kutumia AI umerudi kwenye uandishi wako wa zamani, siku haupo ntakukumbuka sana.Oyooo
Humu wengi wa andika uongo wakati mwingine kwenda na flow nikiwa mmoja wapo kwa tangu nianze kusoma humu niliamua nakuwa sio mimi kama nilivyo sio mimi napoamua 😅😅😅
Mkuu,Naona watu mnachanganya madesa, kuna kutoa sadaka na kutapeliwa. Kwa huyu mjamaa hio sio sadaka huko ni kupigwa na hakuna barakha zozote utakazopata maana pesa yako imeenda kunywewa haram. Sadaka zenye barakha ni zile mtu unatoa kwa wenye uhitaji kama watoto yatima, wagonjwa n.k. lakini za kina Diva na huyu mjamaa hapa ni mmepigwa 😀 😀 😀 😀 😀
UbarikiweMimi nimehisi shida yake ni genuine ndio maana nikatoa kitu kidogo nilichonacho japokuwa kapuku, kama katutapeli basi bwana. Kama hukuguswa kumtolea chochote is understandable but kumsema mtu ni tapeli bila kuwa na evidence ni uonevu.
Mimi nitasaidia mtu baki. Ili mradi nijue ana masaibu ya kweli. Baraka ni haraka hata iwe ya mtu baki au ndugu.Mkuu,
Tuwaache watu watoe sadaka zao. Sisi tumesema hiyo sio sadaka ni kutapeliwa, wao wamesema kwa vile hatujatoa tusiwasumbue.
Ila nimewaambia tu, waanzie mitaani na kwa ndugu wa karibu, kuonyesha sympathy kwa mtu hata humjui wakati una ndugu kibao hata mlo mmoja ni shida hakusaidii chochote.
Kifupi watanzania wanapenda kutapeliwa, ndio maana tunafurahi vile ccm na genge lake wanavyozidi kututapeli and we're okay with it..
Sikatai ni muhimu sana kusaidia yoyote, ila usikubali kutapeliwa kizembe, watu wa nyakati hizi ni matapeli, wanatumia mbinu hata za kuuwa wazazi ili wapate pesa.Mimi nitasaidia mtu baki. Ili mradi nijue ana masaibu ya kweli. Baraka ni haraka hata iwe ya mtu baki au ndugu.
Kuna shida Moja kwenye kusaidia ndugu. Wanachukulia kuwa ni haki yao. Na wanataka Kila siku.
wamenishambulia kweli,ukweli hajafiwa wala nini hizo trick zake tunazijua.picha linaanza aliwahi kusema hana miaka 20 hajawahi kumuona mama yake kifupi hajalelewa na mama yake..Sasa unganisha hizo doti, chunguza historia yake, kisha utapata picha kamili.Naona watu mnachanganya madesa, kuna kutoa sadaka na kutapeliwa. Kwa huyu mjamaa hio sio sadaka huko ni kupigwa na hakuna barakha zozote utakazopata maana pesa yako imeenda kunywewa haram. Sadaka zenye barakha ni zile mtu unatoa kwa wenye uhitaji kama watoto yatima, wagonjwa n.k. lakini za kina Diva na huyu mjamaa hapa ni mmepigwa 😀 😀 😀 😀 😀
Ni kweli. Iwe kwa uwezo kujitoa sana ukitegemea watakusaidia siku yakikukuta utajutia. Lazima unbalance vitabu vyako vizuri.Sikatai ni muhimu sana kusaidia yoyote, ila usikubali kutapeliwa kizembe, watu wa nyakati hizi ni matapeli, wanatumia mbinu hata za kuuwa wazazi ili wapate pesa.
Kusaidia pia kunaanzia kwa watu wako, watu wa karibu yako, watu wa familia yako. Usiangalie wanaonaje, wanatakaje, wasaide kwa uwezo wako.
1 Timotheo 5:8
Huyu mtangazaji anaitwa lulu Diva alilalamika amefukuzwa na mwenye nyumba anaomba msaada pesa ya kodi, wamemchangia mil 12 ya kodi baada ya siku 4 akaenda serengeti kutumbua pesa za manyumbu.Mkuu,
Tuwaache watu watoe sadaka zao. Sisi tumesema hiyo sio sadaka ni kutapeliwa, wao wamesema kwa vile hatujatoa tusiwasumbue.
Ila nimewaambia tu, waanzie mitaani na kwa ndugu wa karibu, kuonyesha sympathy kwa mtu hata humjui wakati una ndugu kibao hata mlo mmoja ni shida hakusaidii chochote.
Kifupi watanzania wanapenda kutapeliwa, ndio maana tunafurahi vile ccm na genge lake wanavyozidi kututapeli and we're okay with it..
Watanzania wenzetu wao wanasaidia tu, hata hawajali aliyeomba msaada yupo genuine au ni muongo, inasikitisha sana kuwa na taifa la watu wasioweza hata kupima mambo. Wakati huo mtaani kuna shida na hawatoi, changamoto za kijamii nì nyingi sanaHuyu mtangazaji anaitwa lulu Diva alilalamika amefukuzwa na mwenye nyumba anaomba msaada pesa ya kodi, wamemchangia mil 12 ya kodi baada ya siku 4 akaenda serengeti kutumbua pesa za manyumbu.
Mimi nimekaa na wazungu ata ulie vipi mzungu hatoi pesa yake kizembe.
Tunasaidia ziada tuliyonayo, yaani watoto hawajala ila upo busy kutoa msaada? Na tunafundishwa kutoa bila kusubiri kulipwa, tutor tu, ila mkuu lazima kuangalia maana matapeli wamekuwa wengi sana.Ni kweli. Iwe kwa uwezo kujitoa sana ukitegemea watakusaidia siku yakikukuta utajutia. Lazima unbalance vitabu vyako vizuri.
Hamtaki masihara sio😅Hicho kibarua, ukitafutie na kibahasha kabisa😂
Watajijua wenyewe tukiongea tunaonekana tuna wivu na roho mbaya.Watanzania wenzetu wao wanasaidia tu, hata hawajali aliyeomba msaada yupo genuine au ni muongo, inasikitisha sana kuwa na taifa la watu wasioweza hata kupima mambo. Wakati huo mtaani kuna shida na hawatoi, changamoto za kijamii nì nyingi sana
Coco umeacha kutumia AI umerudi kwenye uandishi wako wa zamani, siku haupo ntakukumbuka sana.