The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Labda pengine changamoto yake ya kiafya tiba yake ni Pombe.Sijamchangia chochote ila kuna member niliwahi kumchangia alisema ana changamoto ya kiafya nikamtumia elfu 23 ,kesho yake kuna nyuzi nilikumkuta amecomment kwamba yupo hoi amelala ana hangover ya pombe.ina maana pesa yangu kaenda kunywea pombe.
Watu wa aina hii uwa wanakuwa na i'd nyingi tofauti.
Matapeli ni kawaida kuwa na id nyingi