Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Babanguuuu msamehe bure atajirekebisha mleu,

Tujitahidi tuwe na vikundi vinasaidia wazee ingawa vinahitaji hela sio nyingi vingi vina range 10k- mpk 50k kwa mwezi kulingana na uchumi wa watz wengi

Shida kama hii vikundi viwili vikitia support na support ya majirani wa unapoishi na ulipotoka, plus marafiki unasitirika wasee.....

Eniwei tupo hapa old moshi kidia ukweni cc secretarybird
Ngoja niusome huu Uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Pole sana sana kwa msiba wa Mama Mungu akupiganie kwenye hiyo changamoto unayopitia.
 
Kuna dada mmoja alipost facebook kuwa amehamia nyuma yenye mauzauza akaomba msaada wa pesa ili aweze kuhama kwani ndio kwanza ana siku kadhaa tu. Halafu amepata taarufa kuwa mwenye nyumba ndio mambo yake hayo anataka tu ukimbie then ampangishie mwingine .
Lakini ghafla kwenye comments kuna account za wanaume ambazo zilikuwa zinzsisitiza kumchangia huyo mdada nikaona hapa tayri watu wanaenda kupigwa
 
kama kigezo chao ni reactions watakua wanajidanganya wenyewe, mimi nimenunua service kadhaa humu bila kumtaarifu muuzaji mimi ni fulani , au ntakuja siku fulani,

wengi wanapenda anonymity, mfanyabiashara yeye apost biashara yake na matangazo/maelezo yaliyonyooka
Hata Mimi niliwahi kununua bidhaa kwa Mwana Jf maeneo ya Yombo Malawi ila nilimkuta mwanamke wake dukani .

Kwenye simu nilijitambulisha from Jf , na jamaa alitamani tuonane ila hakuwa around siku hiyo
 
The Icebreaker Mzee wa VAR tupatie picha mjongeo
Mimi nilikua najua mleta mada ni marehemu tayari toka kitambo.

VAR

 
Mimi nilikua najua mleta mada ni marehemu tayari toka kitambo.

VAR

Style yake ya uandishi na ulalamikaji sio ngeni hapa Jf , kama nishawahi kuiona kwa ID nyingine
 
Style yake ya uandishi na ulalamikaji sio ngeni hapa Jf , kama nishawahi kuiona kwa ID nyingine
Msaidieni mleta mada,hua ni mtu mwenye shukrani sana,aliwahi kuanzisha uzi wa kushukuru kwa kusaidiwa shilingi elfu 3 tu.

VAR

 
Mboju Halafu kuna ile thread yako uliyomtuhumu mtu kuwa mwizi bila ushahidi, mwisho wake akauawa. Una uhakika gani kwamba ndiye aliyeiba sabufa lako la kichina na TV yako? Umewahi kufikiria maumivu uliyowasababishia waliokuwa wakimtegemea?
Usisahau, matendo yana matokeo. Hizi shida zako unazopitia leo, huenda ndiyo KARMA yako.
Duh ! makubwa haya , nafuatilia updates zako kwa umakini ..
 
Mboju Halafu kuna ile thread yako uliyomtuhumu mtu kuwa mwizi bila ushahidi, mwisho wake akauawa. Una uhakika gani kwamba ndiye aliyeiba sabufa lako la kichina na TV yako? Umewahi kufikiria maumivu uliyowasababishia waliokuwa wakimtegemea?
Usisahau, matendo yana matokeo. Hizi shida zako unazopitia leo, huenda ndiyo KARMA yako.
Mambo kwa ushahidi,

JF VAR CHECK

 
Back
Top Bottom