El Mincho
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 2,207
- 4,953
Ona sasa mlivyo wepesi, kwahio hapo kusema kua anatafuta dili yoyote basi wewe ulivyo ndezi ukaona yupo genuine sio. Nakwambiaje wanageria watakuja bongo kwa wingi na kushirikiana na wabongo wajanja watawapiga pesa mpaka mtatia akili nyie watu. Huyu alivyoanza nakutafuta dili ndio alikua anawapanga kwa huu mtoko wa msiba fake. Wahaya wasivyotupana wakose nauli ya kumpa huyu hadi aje JF, Upole wa wabongo ndio ujinga wao na ma Ccm yanatumia huu ujinga kututawala hadi milele. Za kuambiwa changanya na za kwako.Wewe huna akili kichwani, alipoomba dili humu nani alimsaidia?
Kama wewe huna shida mshukuru Mungu haya maisha hayana kiapo ni kama gwaride tu, ikipigwa nyuma geuka mwenyewe utaimba Yesu ni bwana.
View attachment 3689350