Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Mimi nimehisi shida yake ni genuine ndio maana nikatoa kitu kidogo nilichonacho japokuwa kapuku, kama katutapeli basi bwana. Kama hukuguswa kumtolea chochote is understandable but kumsema mtu ni tapeli bila kuwa na evidence ni uonevu.
 
Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu

Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo

Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo

Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo

Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli

Chai.

Haiwezekani ndugu washindwe kukuchangia nauli ya kukufikisha huko hali ya kuwa wewe ndiye mlengwa mkuu .
 
Mie wala sijapanic ila nakushangaa wewe akili inaniambia kuna kitu kwako hakipo sawa, kwanza sikua na mjadala na wewe umedandia treni kwa mbele, pili kuanza kuniattack personal inadhihirisha kabisa homons zako hazijabalance kuna moja imeshuka na moja imepanda, tatu kunilazimisha nimuhoji mtu ambaye maelezo yake kayaweka yote ni mimi tu kuchagua kusuka au kunyoa ni tatizo la akili, nne kuona kua nimekuzuia wewe kuhoji wakati wala siku kuquote tayari inaonesha una anxiety

Ushauri wangu; relax, vuta pumzi ndani na zitoe nje kwa nguvu, angalia kama una dawa yoyote hua unatumia na hujanywa leo kunywa, sali kisha jilaze kitandani vuta na shuka/duvet, simu weka kando.
Kwamba Dr umenifanyia diagnosis tayari? Kweli Tanzania ina madokta.

Haya tuendelee, wenye kutoa nauli kijana akamxzike mzazi tutoe, wenye kutaka kusubiri habari kamili ili wachangie tusubiri.

Kila mtu afanye kile moyo wake unamgusa kufanya.
 
Ombaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake.
Kitu kingine unapaswa kukijua David humu sio wote ni wazima, humu kuna walemavu wa viungo, walemavu wa ngozi, kuna viziwi, mabubu, kuna wagonjwa wa akili, kuna wagonjwa wa stroke, kuna watu waliofilisika, n.k usione tunakutana jukwaan ukadhani sote ni wazima hapana.
 
Kwamba Dr umenifanyia diagnosis tayari? Kweli Tanzania ina madokta.

Haya tuendelee, wenye kutoa nauli kijana akamxzike mzazi tutoe, wenye kutaka kusubiri habari kamili ili wachangie tusubiri.

Kila mtu afanye kile moyo wake unamgusa kufanya.
Na hili ulipaswa kulifahamu tangu mwanzo, "kila mtu afanye kile moyo wake unamgusa"

Umeona faida ya kumeza dawa kwa wakati eeh,
Uwe na asubuhi njema.
 
Na hili ulipaswa kulifahamu tangu mwanzo, "kila mtu afanye kile moyo wake unamgusa"

Umeona faida ya kumeza dawa kwa wakati eeh,
Uwe na asubuhi njema.
Ukisema hivyo manake hupaswi kuwa na argument humu, Dr wa wapi wewe usiyependa kuwa challenged? Wewe umeona kutoa bila kuhoji ni sawa, mimi nasema huyu anaweza kuwa muongo maana wengi humu wamekuwa waongo.

Unadhani nani kati yetu anahitaji dozi ndugu Dr wa mchongo?

Siku njema pia!!
 
Mimi nimehisi shida yake ni genuine ndio maana nikatoa kitu kidogo nilichonacho japokuwa kapuku, kama katutapeli basi bwana. Kama hukuguswa kumtolea chochote is understandable but kumsema mtu ni tapeli bila kuwa na evidence ni uonevu.
Upo sahihi Becky na nina uhakika umejisikia amani baada ya kumshika mkono, iwe muongo ama mkweli atajua yeye na nafsi yake, na kuna matukio humu ya nyuma watu walikuja kuomba misaada wakabezwa mmoja alikufa kwa kansa mwengine alijinyonga, watu walijilaumu sana juu ya watu wale, nadhani ibaki kua anayesaidia asaidie kwa amani ya moyo wake, asiyesaidia asisaidie kwa amani ya moyo wake pia kuliko kuitana majina bila ushahidi.
 
Tujitahidi kuwa kwenye vikundi vya kusaidiana mitaani tunamoishi haya maisha ya kujifanya private yatawamaliza , majanga hutokea ghafla bila kutarajia hata vikundi vya kuchangiana ukiwa na shida unakopa humo bila tatizo lolote
 
Jamaa ajakimbia hawezi kushika simu aingie Jf na yupo na majonzi ya kufiwa , ichukuliwe namba pale juu mpigie na uletwe mlejesho hapa watu watulie, ni rahisi kuongea na cm kuliko kuchat na upo msibani ,
 
Back
Top Bottom