Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Ukiniona mimi mjuaji ujue we sail in the same boat. Toa hiyo prefix ya Dr.
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, mtu hujashikiwa panga utoe chochote mapovu yanakutoka na kuanza kuita watu majina, unaumia hadi mie kujiita Dr!!!! basi nikuite wewe ila sasa ili uwe Dr inahitaji uwe smart sana kichwani na hiyo karama hunaaaaa
 
Acha kupanic, nimeita watu gani majina, au kuhoji ukweli wa jambo ndio kuita watu majina?

Daktari asiyejua kuhoji ni daktari wa wapi huyu, kweli sina weledi wa kuwa Dr, ila huo wako unashusha hadhi ya watu walioenda shule.
 
Sasa ngoja nikwambie kitu David, kuomba omba na utapeli ni vitu viwili tofauti, huenda bado shida zake hazijatatuliwa maana watu wanampa vijipesa tu hawampi kazi, hebu mpeni mchongo wa kazi halafu tuone kama atakua omba omba
Anataka shida zake zitatuliwe kutegemea misaada ya watu?
sikia huyo jamaa yako ameanza kupiga mizinga tangu 2022 kipindi chote iko ameshindwa kupambana? Nimemfatilia vizuri sio kwamba namfanyia roho ila nataka ajirekebishe.
Leo kafa mama yake anataka nauli,ina maana kila akipata msiba/matatizo awe anachangiwa kila siku?
 
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, mtu hujashikiwa panga utoe chochote mapovu yanakutoka na kuanza kuita watu majina, unaumia hadi mie kujiita Dr!!!! basi nikuite wewe ila sasa ili uwe Dr inahitaji uwe smart sana kichwani na hiyo karama hunaaaaa
😂😂😂 Khaaaah!!
 
Screenshot_20261012_171701_Chrome.png

Mtu mzima anakuja JamiiForums kuomba elfu tatu (3,000) ya kula na familia yake! Hivi huyu mtu yuko serious kweli na maisha yake? Leo umepewa hiyo elfu tatu, umekula na familia yako, pesa imeisha. Sasa kesho mtakula nini? Na kesho kutwa je, utaendeleaje kuendesha maisha ya familia yako?
Shida nyingine ni kujiendekeza na kukubali kujivua utu wako mwenyewe. Maisha yana changamoto, lakini si kila changamoto unatakiwa kuikimbilia kwa kuomba omba bila kuwa na mpango wa kujikwamua.

Ukiendelea na huu uduanzi, ipo siku hata mkeo atakukimbia, kwa sababu unadhalilisha familia yako mwenyewe. Mwanaume mwenye familia anapaswa kufikiria namna ya kujikwamua kiuchumi na kujenga kesho bora, badala ya kuifanya familia yake iishi kwa kutegemea huruma za watu kila siku.
 
Acha kupanic, nimeita watu gani majina, au kuhoji ukweli wa jambo ndio kuita watu majina?

Daktari asiyejua kuhoji ni daktari wa wapi huyu, kweli sina weledi wa kuwa Dr, ila huo wako unashusha hadhi ya watu walioenda shule.
Mie wala sijapanic ila nakushangaa wewe akili inaniambia kuna kitu kwako hakipo sawa, kwanza sikua na mjadala na wewe umedandia treni kwa mbele, pili kuanza kuniattack personal inadhihirisha kabisa homons zako hazijabalance kuna moja imeshuka na moja imepanda, tatu kunilazimisha nimuhoji mtu ambaye maelezo yake kayaweka yote ni mimi tu kuchagua kusuka au kunyoa ni tatizo la akili, nne kuona kua nimekuzuia wewe kuhoji wakati wala siku kuquote tayari inaonesha una anxiety

Ushauri wangu; relax, vuta pumzi ndani na zitoe nje kwa nguvu, angalia kama una dawa yoyote hua unatumia na hujanywa leo kunywa, sali kisha jilaze kitandani vuta na shuka/duvet, simu weka kando.
 
Kaka naomba nikwambie kitu kimoja hili jukwaa halina msaada mkubwa kabisa kwenye issue za pesa yani ukipata changamoto ya fedha hapa pakimbie

Nenda X, Facebook au instagram haipiti two hours kwisha

Humu ni makapuku tumejaa walipwa kwa mwezi hatuna lolote lile
Facebook & instagram are you serious bro
 
Anataka shida zake zitatuliwe kutegemea misaada ya watu?
sikia huyo jamaa yako ameanza kupiga mizinga tangu 2022 kipindi chote iko ameshindwa kupambana? Nimemfatilia vizuri sio kwamba namfanyia roho ila nataka ajirekebishe.
Leo kafa mama yake anataka nauli,ina maana kila akipata msiba/matatizo awe anachangiwa kila siku?
Kwanza nakusahisha huyo sio jamaa yangu, nilichokurekebisha kumuita tapeli ili hali hajawahi kukutapeli, na kuhusu mwaka alioanza kuomba omba haijalishi, umeshajiuliza wale omba omba wanaosimama mjini asubuhi hadi jioni hawajapata tu pesa ya mtaji wa biashara? majibu yaweza kua hawajapata au wamepata tu pesa ya kula au yaweza kua wamepata ila ni hulka yao kuomba omba, sasa iko hivi ili usijikere nafsi yako wewe jiwekee msimamo kua HUSAIDII mtu basi na waache wengine wasaidie kadri watakavyojaaliwa, usiwazuie watu kwenye kutoa sadaka zao.
 
Ombaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake. Kusaidiwa si vibaya, lakini mtu anatakiwa kuwa na aibu na kujituma. Haiwezekani kila akipatwa na shida akimbilie kuomba pesa kwa watu, akijua kuna watakaomchangia. Swali ni, ataendelea kutegemea wengine mpaka lini badala ya kutafuta namna ya kujikwamua mwenyewe?
Huyu hajafiwa wala nini ameshapata pesa ameingia mitini,kuna muda alichungulia alivyoona pamoto kakimbia ametuacha tunatifuana wenyewe kwa wenyewe ..huu ndio tunaita utapeli
 
Sawa, hapa sasa tunatakiwa tujikosoe wenyewe narudi kule kule ukiona kuna kitu hakipo sawa hutoi msaada, atachangiwa mpaka lini hiyo itategemea na watoa msaada watasitisha lini ila kama wanaendelea kutoa ataendelea kuomba, wamatumbi wana msemo wao "don't hate the player, hate the game", muache apambane na wafadhili wake kama mimi na wewe hatujachangia kwanini tuumie dhidi ya wengine waliotulia wala haiwashtui kua walitoa maelfu???
 
Ombaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake. Kusaidiwa si vibaya, lakini mtu anatakiwa kuwa na aibu na kujituma. Haiwezekani kila akipatwa na shida akimbilie kuomba pesa kwa watu, akijua kuna watakaomchangia. Swali ni, ataendelea kutegemea wengine mpaka lini badala ya kutafuta namna ya kujikwamua mwenyewe?
Huyu hajafiwa wala nini ameshapata pesa ameingia mitini,kuna muda alichungulia alivyoona pamoto kakimbia ametuacha tunatifuana wenyewe kwa wenyewe ..huu ndio tunaita utapeli
Kesi ishakuwa ngumu hii
 
Mie wala sijapanic ila nakushangaa wewe akili inaniambia kuna kitu kwako hakipo sawa, kwanza sikua na mjadala na wewe umedandia treni kwa mbele, pili kuanza kuniattack personal inadhihirisha kabisa homons zako hazijabalance kuna moja imeshuka na moja imepanda, tatu kunilazimisha nimuhoji mtu ambaye maelezo yake kayaweka yote ni mimi tu kuchagua kusuka au kunyoa ni tatizo la akili, nne kuona kua nimekuzuia wewe kuhoji wakati wala siku kuquote tayari inaonesha una anxiety

Ushauri wangu; relax, vuta pumzi ndani na zitoe nje kwa nguvu, angalia kama una dawa yoyote hua unatumia na hujanywa leo kunywa, sali kisha jilaze kitandani vuta na shuka/duvet, simu weka kando.
😂😂😂😂 sikuweziii wallah
 
Back
Top Bottom