Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Niwe nimetoa mchango au sijatoa, mwambieni ajifunze kujipambania. Ana miaka 30, mke na watoto 4, ataomba misaada mpaka lini? Shida haipigi hodi, lakini kila changamoto si sababu ya kukimbilia JamiiForums kuomba michango...
Leo mmemchangia, msiba ukiisha atapata wapi pesa ya kurudi Dar,? hasa ukizingatia yupo kijijini? Kusaidiana ni jambo jema, lakini msaada unapaswa kwenda sambamba na kujipanga. Huwezi kutegemea michango ya watu kila unapokutana na changamoto. Maisha yanahitaji mipango na kujitegemea, maana misaada ina mwisho.
Misaada ina kikomo, na huruma zenu zisizo na mipaka zinajenga utegemezi badala ya kumfundisha kujitegemea.
Kuna dharura au ww umejihakikishia kesho yako
 
David Harvey
Wewe ni jamaa angu humu jukwaani ila kwa hili naomba nisikubaliane nawewe
Unajua sehemu gani za kukaa kimya?
Ok naomba nikueleze
1.Be silent when your words can offend someone
2.Be silent when silence can save bonds
3.Be silent when your words can destroy friendship
Nadhani kukaa kimya ni Busara
 
David Harvey
Wewe ni jamaa angu humu jukwaani ila kwa hili naomba nisikubaliane nawewe
Unajua sehemu gani za kukaa kimya?
Ok naomba nikueleze
1.Be silent when your words can offend someone
2.Be silent when silence can save bonds
3.Be silent when your words can destroy friendship
Nadhani kukaa kimya ni Busara
 
Dogo miyeyusho sana lazima aambiwe ukweli afanye kazi asipende vya mtelezo.nyie mnaompa misaada ndio mnamlemaza anajua fika akipatwa na shida anajua JF watamchangia.
Ana miaka 30 ameoa ana watoto 4 kila siku kupiga mizinga jamii forum..jukwaa la betting ukishinda mkeka anakufata PM umpe donei.
Mwambieni apambane afanye kazi ana familia kubwa inamtegemea.

Mboju ukishamaliza kuzika uje tena JF uwaombe nauli ya kurudia
Kazi hiyo iyo akiba unaikutia wapi?
 

Attachments

  • Screenshot_20261013-195839.png
    Screenshot_20261013-195839.png
    278.1 KB · Views: 6
Hata Mimi niliwahi kununua bidhaa kwa Mwana Jf maeneo ya Yombo Malawi ila nilimkuta mwanamke wake dukani .

Kwenye simu nilijitambulisha from Jf , na jamaa alitamani tuonane ila hakuwa around siku hiyo
naam , mfanyabiashara yeye apost tu kazi zake kwenye mitandao mbalimbali wateja wapo
 
Jf zamani iliaminika sana now days watu wengi wamekuwa si wakwel, kwa issue ya hyu jamaa iwe kwel au uongo kama umeguswa toa tu na mama moyo wako unaona unatapeliwa nyamaza.. maana moyo ni mwal mzr wa maamzi..

Mhim mleta uzi alete mrejesho, halafu jf inamember kule waende wakalete mrejesho mbna rahisi tu.. kimsingi m nampa pole kwa dhati.. iwe amedanganya au kasema ukwel.. mambo mengine tunamwaachia MUNGU.
 
Hata kama ni tapeli mnajuaje this time around anaongea ukweli anataka akamzike mama yake?!

Mnaongea sana kumshusha credibility UKWELI NI KWAMBA HAMNA EVIDENCE MAMA YAKE HAJAFA OR NOT....so maneno yenu tread carefully wapuuzi nyie!

Mtu mnatapeliwa hata na ndugu zenu kijijini, wamewafanya cash cows kila saa mnabet if hela mnazowapa zinaenda kufanya kilichokusudiwa, lakini leo mnaona tabu sana kuona wengine wakichangiwa!..selfish creatures..kwendeni hukoo...!.
 
Back
Top Bottom