Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Kama humuamini tulia mkuu... Watu wanatuma sadaka bila kuomba ushahidi.

Au wewe umeguswa kuliko sisi wote humu?
 
Mkuu kuna mambo familia nyingine hazina mfano chats za group kwanza group lenyewe hakuna na wenye simu kubwa ni wachache nafhani unajua maisha ya vijijini sisi wengine ndo tulijikokota kutafuta maisha dar ila bado tunapigwa na maisha kama vile tupo kijijini nadhani kuondoa shaka kukata tiketi ingekuwa vizuri na ukaongea na dereva kama nilipanda au vipi🙏🏻🙏🏻
 
dah pole sana mkuu pole sana jina linasoma nan hii namba muamala unatoka kwa wakala ,nashauri uanze kujiandaa kbs au usogee Magufuli terminal wakat wadau wanaweka michango yao
 
Hakuna cha great thinker Wala cha mavi. Jamaa anahitaji msaada we unaongelea thinkers!
Msaada ndio anakuja huku, aende mtaani huko. Ndio maana wabongo ni easy target kwa wakenya na wapopo, mko wavivu sana wa kufikiri. Anaehitaji msaada hawezi kulia lia online. Msaidieni sasa halafu mje kulia baadae mmepigwa. Na hivi wanigeria wataingia bila Visa, subirini mpigwe hadi mtie akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…