Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Anachohitaji ni nauli au pesa ya nauli. Nguvu tayari anazo.

Unashindwa elfu 3 ya kula mpaka unakuja JF kuomba?
Acha kutia huruma fanya kazi,halafu wewe ndio mkubwa katika familia
Mkuu unanisuta au unanishauri yaani kwa akili yako unadhani sifanyi kazi?? Ngoja niishie hapa Ila mungu ndo anajua
 
Mkuu mtu akikuambia amefiwa na mamayake ni jambo zito,kama anania tofauti hiyo ni juu yake,usiwalaumu waliosaidia na kuwaona wajinga,Mungu atawalipa according to their intentions.
 
Natamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭

Sisi watanzania kuwa waongo wanasababisha kuto msaidia jamaa?

Ngumu kuamini anachosema Hata huyu. Hskuna anaetaka kudanganywa na kuonekana bwege Wakati kweli ulitaka kusaidia
Jamaa ameomba sio hela amesema hata akikatiwa tiketi ya bus ni sawa.

Kama humuamini kumsaidia hela basi akupeni taarifa zake mumkatie tiketi. Sawa utapeli upo ila muda mwingine tuwe na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…