Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Ntatuma chochote nikifika road. Pole sana mkuu
 
Kaka naomba nikwambie kitu kimoja hili jukwaa halina msaada mkubwa kabisa kwenye issue za pesa yani ukipata changamoto ya fedha hapa pakimbie

Nenda X, Facebook au instagram haipiti two hours kwisha

Humu ni makapuku tumejaa walipwa kwa mwezi hatuna lolote lile
 
Sawa mkuu pole, mwenyewe ninatokea katika familia ya kuungaunga...lakini ninauhakika nikifiwa majirani hawatanitupa...
Mboju

Unaona huyu ni platinum member unajua what it takes kuwa platinum member?

Moja huyu ni lazima ana umri mkubwa yani ana zaidi ya miaka 35 panga pangua anasema haya maneno

Hili jukwaa la kimasikini kimbia bro kimbiaaa humu njoo furahisha genge, beza watu, jikweze, tukana wabagaze

Msaada upo instagram, X na Facebook tu
 
JF imefikia huku kwa kua na omba omba, twafa. From Great thinkers hadi kufikiw a na ma omba omba. Nimeamini dunia duara.
Wewe huna akili kichwani, alipoomba dili humu nani alimsaidia?

Kama wewe huna shida mshukuru Mungu haya maisha hayana kiapo ni kama gwaride tu, ikipigwa nyuma geuka mwenyewe utaimba Yesu ni bwana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…