Nakazia asisahau na vipichapicha kidogoUtupe mrejesho ukifika ,wape pole home ,achakupoteza mda wakutujibu huku tulia utuambie kama utarudi au utabaki Kaitaba,nakushauri kama unajibu basi utupe updates wengi sisi na matomaso
Nimempa kweli yake apambane sio kutia huruma.Hilo linakuuma? Shilingi elfu 90 inakuuma.
Tiktok watu wanaingia Live wanasaidiana kwa saa 1 tu tena vimtu vidogo dogo tu vina raise hadi million 5 alafu hawana muda na wewe anakuja mwingine naye anasaidiwa
Hawahitaji uthibitisho wowote as long as umeeleza shida na watu wanazijua shida kwa sababu wameziishi
Ticket inatosha mkuu,huku sisi ni anonymousNakazia asisahau na vipichapicha kidogo
Dennis nakuelewa sana, humu wajuaji ni wengi sana na ukifatilia ni sura zile zile wakiwa kwenye nyuzi zingine wanajikweeeza wakibanwa sehemu wanakimbilia ujuaji na ubishi, mie naamini kama mtu hataki kumsaidia mtu akae kimya tu awapishe wengine wanaojiweza, binafsi nimejiwekea siwezi kutoa pesa kwa mtu wa mtandaoni nisiyemuona ila siwezi kuwabana wengine,ULichoongea ni sahii hapa ni story tu utakula kwako
Jamiiforum hata useme utangaze biashara ni ngumu sana kupata wateja
Mimi mpaka option ya direct sms nimeifunga watu wanaomba ela sana alafu ni ngumu sana kuwaaminiDennis nakuelewa sana, humu wajuaji ni wengi sana na ukifatilia ni sura zile zile wakiwa kwenye nyuzi zingine wanajikweeeza wakibanwa sehemu wanakimbilia ujuaji na ubishi, mie naamini kama mtu hataki kumsaidia mtu akae kimya tu awapishe wengine wanaojiweza, binafsi nimejiwekea siwezi kutoa pesa kwa mtu wa mtandaoni nisiyemuona ila siwezi kuwabana wengine,
Watu wana shida jamani, ukitembea tembea hii Tanzania utaona watu wana maisha magumu na wengine hawajui hata kama wana maisha magumu, usimuite mtu tapeli ambaye hajakutapeli au kumdhalilisha na kumtweza utu wake kisa shida zake.
mtu unatangaza biashara jf, na umeweka namba za simu au location ya sehemu yako ya kazi.Jamiiforum hata useme utangaze biashara ni ngumu sana kupata wateja
Watu wengi wanaoamua kutangaza biashara huku jf baada ya mda wanaingia mitini hawaendeleimtu unatangaza biashara jf, na umeweka namba za simu au location ya sehemu yako ya kazi.
unajuaje katika wateja wanaokuja hapo dukani au kupiga simu hakuna wanaotoka jf?
SawaNimempa kweli yake apambane sio kutia huruma.
Fatilia thread zake anazoomba misaada utaelewa
Kwenye biashara ndio kabisaaaa, nashangaaga lile jukwaa la biashara wanapoteza mudaULichoongea ni sahii hapa ni story tu utakula kwako
Jamiiforum hata useme utangaze biashara ni ngumu sana kupata wateja
kama kigezo chao ni reactions watakua wanajidanganya wenyewe, mimi nimenunua service kadhaa humu bila kumtaarifu muuzaji mimi ni fulani , au ntakuja siku fulani,Watu wengi wanaoamua kutangaza biashara huku jf baada ya mda wanaingia mitini hawaendelei
Ni bora utanganze biashara yako instagram ila sio huku pagumu sana ndo iko hivyo
Nahene sana bhabha, eti mtu kisa anaomba msaada Twitter basi Elon Musk athibitishe ni kweliNa Mimi nakazia WHO IS MELLO BY THE WAY😡😡maaaarakapiiii
Umeandika Pumba...Kwenye biashara ndio kabisaaaa, nashangaaga lile jukwaa la biashara wanapoteza muda
Yani eti upate wateja kwa ma anonymous 😆 ma anonymous yakuchangie
Unauliza Mello nani wakati ni kwa hisani yake upo hapa? Kwamba verification ni kitu cha ajabu kwako, mara nyingi issues za namna hii zimekuja na kujulikana walengwa wamedanganga baada ya kufuatiliwa, unadhani sisi tunaohoji sio watoaji au tuna wivu mkuu?Maxence ni nani yani kwenye shida za watu yeye nani?
Amewahi kushinda njaa? Amewahi pigwa na maisha haelewi anatokaje na akaja kuwa rescued na watu baki?
Oya we jamaa huyo max wenu hapa namkataa mimi nasaidia watu sanaa na sijawahi weka doubt kwao na uwezo wangu huu huu mdogo sana
Eti nauli tu ya bukoba umwite Maxence mello WTF
Unaona ulivyo na ufinyu wa kufikiri, kwamba kwa vile hatujitambulishi kama wateja toka jf ndio biashara hazifanyiki? Fundi kutoka jf kanitengenezea kifaa yangu na hajui nimepata contacts zake humu, sikuwa na haja ya kumwambia ni mtu kutoka jf.Kwenye biashara ndio kabisaaaa, nashangaaga lile jukwaa la biashara wanapoteza muda
Yani eti upate wateja kwa ma anonymous 😆 ma anonymous yakuchangie
Mbona wenzenu wanapata hadi pisi kali humu humu. Nyie mnafeli wapi au ndio ubahiri umewazidi.ULichoongea ni sahii hapa ni story tu utakula kwako
Jamiiforum hata useme utangaze biashara ni ngumu sana kupata wateja
Huyo msagaji yupo in favour of waombaji na ameandika akiamini kwamba una mtazamo kama wake wakati huo wewe upo against waombaji.Mimi mpaka option ya direct sms nimeifunga watu wanaomba ela sana alafu ni ngumu sana kuwaamini
Ukiniona mimi mjuaji ujue we sail in the same boat. Toa hiyo prefix ya Dr.Kuitikiwa na watu kwenye jambo lako ni bahati, sio wote wana hiyo karama, kumuita mtu tapeli bila kuthibitisha utapeli wake ni upumbavu wa hali ya juu, kilichokupanikisha hapo nini umelazimishwa uchangie au ujuaji usio na maana