Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda tu... Hii imekaaje wadau?
Mimi na wenzangu tulikaa mkao wa kula sasa Israel inaenda kufutwa. Lakini sioni dalili hiyo? Israel ni ka nchi kadogo sana. Iran ni kubwa kumbuka ilimsaidia hadi Russia makombora kwenye Vita yake dhidi ya Ukraine.
Sasa inakuaie? Maana hii Israel pia si ilishtakiwa huko South Africa? Alwaz na Ritz walituletea sana hizi taarifa. Sasa hukumu hajaleta mpaka leo. Walisema waisrael wote watafungwa nchi itbaki tupu wataenda kaa Wapalestine. Sasa imekuwa kimya.
Mi kwa kweli nakata tamaa maana sisi tunajipanga vizuri kuwasaidia wenzetu wao wanatuangusha. Kila tunalolianzisha linaishia njiani. FaizaFoxy alikuwa akitujulisha jinsi ambavyo makafir wanaenda kuteketea Gaza. Sasa hata taarifa hatupi tena. Wamepotea wenzangu wengi humu. Nimebaki mimi tu.