Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Ndani ya mada, kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia, Egypt, Oman, Kuwait, Bahrain, Qatar, Jordan na UAE nazo ni nchi za kishoga na kikafir mpaka zinasimama wima kuilinda Israel isichakazwe na makombora ya Iran?

Kama ni kweli huko tunakoelekea Uislamu wote unakwenda kumezwa na umagharibi huku ukafir ukizidi kushika hatamu milele.

Takibiiiir!
Hizo nchi zote zilianzishwa au watawala wake walisimikwa na mabwana zao waingereza.

Wote hao ni mashoga wa mazayuni na USA.
 
Haujaangalia vizuri Alijezila wewe, kaangalie ile Alijezila ya ndanindani huko ndiyo utaona uharibifu uliofanyika. ulusi kamwambia Ilan na Alijezila wasionyeshe kwanza uhalibifu ili UN wasije kuingilia vita isimamishee.
Nyie fuatilieni vizuri haya mambo, msiamini vyombo vya habali vya magaribi.
Mnaoelewa vizuri hii lugha tusaidieni tafsiri please.
 
Ndani ya mada, kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia, Egypt, Oman, Kuwait, Bahrain, Qatar, Jordan na UAE nazo ni nchi za kishoga na kikafir mpaka zinasimama wima kuilinda Israel isichakazwe na makombora ya Iran?

Kama ni kweli huko tunakoelekea Uislamu wote unakwenda kumezwa na umagharibi huku ukafir ukizidi kushika hatamu milele.

Takibiiiir!
Allah Akbar !!!
 
Hatari sana sheikh. Mi mwenyewe wallah nimeshtuka sana.
 
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?

Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda tu... Hii imekaaje wadau?

Mimi na wenzangu tulikaa mkao wa kula sasa Israel inaenda kufutwa. Lakini sioni dalili hiyo? Israel ni ka nchi kadogo sana. Iran ni kubwa kumbuka ilimsaidia hadi Russia makombora kwenye Vita yake dhidi ya Ukraine.

Sasa inakuaie? Maana hii Israel pia si ilishtakiwa huko South Africa? Alwaz na Ritz walituletea sana hizi taarifa. Sasa hukumu hajaleta mpaka leo. Walisema waisrael wote watafungwa nchi itbaki tupu wataenda kaa Wapalestine. Sasa imekuwa kimya.

Mi kwa kweli nakata tamaa maana sisi tunajipanga vizuri kuwasaidia wenzetu wao wanatuangusha. Kila tunalolianzisha linaishia njiani. FaizaFoxy alikuwa akitujulisha jinsi ambavyo makafir wanaenda kuteketea Gaza. Sasa hata taarifa hatupi tena. Wamepotea wenzangu wengi humu. Nimebaki mimi tu.
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu
 
Iran nia yake ilikuwa kupiga vituo vya kijeshi na imevipiga.

Wachambuzi wote wa mamboi ya kivita wanakwambia ni pigoi kubwa sana kwa mazayuni na mashoga zao.
Nchi ngapi unajuwa zimejikusanya kuzuwia makombora ya engine za pikipiki ya Iran? Hesabu; mazayuni, USA, Uingereza, Ufaransa, Jordan, Saudi Arabia, UAE, Qatar, Egypt, Kuwait, Bahrain na Oman kisirisiri.

Mainstream media zimefungwa kutoa habari.
Hana akili huyo ,Iran hajalenga raia kalenga kambi za jeshi na Isreal Wana sera yao ya kuficha madhara wanaposhambuliwa ili waonekane wao Bora anategemea Nani ataingia kambi hizo za jeshi na kupiga picha ili aine yeye aliyekuwepo huko nanjilinji ,Iran level nyengine ukitaka nchi 10 bora kwa kutengeneza zana za kivita bc Iran lazima iwepo na haishiki namba ya mwisho.
 
Mbona unatulisha tango pori. Tuletee ushahidi.
Waambie hao, yaani Ilani ni noma. Israil ilikua imeshafutika tayali, ingawa hadi sasa kalibu kambi zoye za kijeshi za Islaili zimesambalatishwa na makombola ya Ilani. Sema vyombo vya magharibi haviandiki, natamani watu wangefuatilia post zake ili wajue wafunguke macho na kujua ukweli.
 
Marekani na washirika wake wamesema wanashukuru kwa kuwa makombora zaidi ya 99% yaliyorushwa ,na Irani yanezuiwa/kuharibiwa na kama hayo makombora yangefanikiwa kuipiga Israel basi hali ingekuwa mbaya sana kwa upande wa Irani kwasababu Israeli ikijeruhiwa huwa haichagui pa kupiga, iwe msikiti, hospitali au handaki yenyewe inatandika tu.

Kwa upande wa Israeli baada ya kufanya tathimini ya madhara yaliyotokana na mashambulizi ya makombora ya Irani wamegundua kuwa kuna binti wa kiizraeli amejeruhiwa mguu na makombora ya Irani.
na hivyo Israeli kuapa kulipa kisasi.

Kamati ya vita ya Israeli imekaa na kuapa kuwa miji kadhaa ya Irani inakwenda kulipa gharama za kumjeruhi mguu BINTI wa kiizraeli
 
Ndani ya mada, kwa hiyo unataka kusema Saudi Arabia, Egypt, Oman, Kuwait, Bahrain, Qatar, Jordan na UAE nazo ni nchi za kishoga na kikafir mpaka zinasimama wima kuilinda Israel isichakazwe na makombora ya Iran?

Kama ni kweli huko tunakoelekea Uislamu wote unakwenda kumezwa na umagharibi huku ukafir ukizidi kushika hatamu milele.

Takibiiiir!
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
 
Mbona unatulisha tango pori. Tuletee ushahidi.
Mkuu, Ilani ni noma. Mpaka sasa Mayahudi yamejificha kwenye mahandaki, ile mitaa yote hakuna hata mtu anatembea wala kuonekana. Vyombo vya habali vya magaribi vinaonyesha eti maisha yanaendelea kukbe wanaonyesha picha za zamani.
Ilani kamwambia Marikani ole wako ukiingilia na wewe na kuvamimia na kukutwanga, Marikani kusikia hivyo kaenda kumeambia Israili, mimi siingilii vita yenu, sitaki shida na Ilani na sina ugomvi nae. Israili kusikia hivyo kaogopa, na mpaka sasa hajajibu. Ilani kamwambia ukijibu safali hii nakufuta kabisa na nchi yote mawapa wapalestina, Israili kasema basi yaishe.
Mkuu we fuatilia habari, niamini mimi ndiyo nakwambia, achana na vyombo vya habari vya wazungu havisemi ukweli.
 
Waambie hao, yaani Ilani ni noma. Israil ilikua imeshafutika tayali, ingawa hadi sasa kalibu kambi zoye za kijeshi za Islaili zimesambalatishwa na makombola ya Ilani. Sema vyombo vya magharibi haviandiki, natamani watu wangefuatilia post zake ili wajue wafunguke macho na kujua ukweli.
Una point lakini unaweza jifunza kwanza kuandika?
 
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
Unakua au waislam wanakimbilia Magharibi? Usisahau pia kwamba idadi ya waislam waliopo Marekani ni ndogo ukiringanisha na Wakristo waliopo Saudia. Na hapo Waislam wa Marekani wapo huru kwa kila kitu wakati Wakristo wa Saudia hawaruhusiwi kujenga makanisa wala kusali hadharani.
Kingine, uislam ukifika Magharibi unabadilika na kubaki jina tu.
 
Back
Top Bottom