Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Huu uzi na uishi sana. Nipo na kigoda nasoma comment by comment ila zote za FaizaFoxy ntakuwa naziandika kwenye note book kwa kumbukumbu zaid
 
Unaweza kututhibitishia hayo unayoyasema?
Zipo video kibao kwenye social media zikionyesha makombora ya Iran yakitua huko Israel. Kama hujaziona zitafute utaziona. Ulitegemea CNN wakwambie ukweli? Kalagabaho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…