Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Aiseee! wamechokoza mzinga wa nyuki, wakae mkao wa kupokea shoo..

Soma hii Mwanzo 49, ujielimishe kuhusu hii kitu inaitwa Israel...nimekuwekea mstari wa 9 utambue nguvu waliyowekewa.

MWANZO 49: 9 Yuda ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha?
Achana ni hizo ngonjera ww
 
Unajua Israel walishambulia ubalozi wa Iran Damascus ili Iran ajibu waingie kwenye vita washambulie vituo vyake vya nyuklia.

Sasa unajua program ya nyuklia ya Iran haijafikia level ya kutengeneza bomu la nyuklia kwaiyo wakileta ujuaji watapigwa na progress yote waliyoifikia kwa miaka mingi na gharama kubwa ya machozi, jasho na damu itakua imefutika.

Busara hapo ni kuwa wapole mpaka siku nao wawe nuclear state ndo itakua hakuna anaeweza kuwagusa kijinga jinga tena, refer North Korea.

With regard to hayo makombora ilikua ni namna tu ya ku save face kuwaonesha raia wake na nchi zinazowaunga mkono kuwa wali revenge lakini kiukweli walitoa taarifa mapema kwa Marekani na ultimately kwa Israel juu ya makombora ya aina gani watatumia, wamelenga wapige wapi, yapo mangapi etc kwahiyo Israel walijiandaa. Kumbuka hata yule general wao (Soleimani) alivyouawa Iraq na Trump, same case.

Uzuri Iran wenyewe walijua mtego uko wapi wakauruka.

Hii dunia pambana uwe tu na nyuklia ndo utakua na amani.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Ilani ni noma. Mpaka sasa Mayahudi yamejificha kwenye mahandaki, ile mitaa yote hakuna hata mtu anatembea wala kuonekana. Vyombo vya habali vya magaribi vinaonyesha eti maisha yanaendelea kukbe wanaonyesha picha za zamani.
Ilani kamwambia Marikani ole wako ukiingilia na wewe na kuvamimia na kukutwanga, Marikani kusikia hivyo kaenda kumeambia Israili, mimi siingilii vita yenu, sitaki shida na Ilani na sina ugomvi nae. Israili kusikia hivyo kaogopa, na mpaka sasa hajajibu. Ilani kamwambia ukijibu safali hii nakufuta kabisa na nchi yote mawapa wapalestina, Israili kasema basi yaishe.
Mkuu we fuatilia habari, niamini mimi ndiyo nakwambia, achana na vyombo vya habari vya wazungu havisemi ukweli.
We unatupanga tu mkuu

We unatupanga tu na stori zako za kuunga, hata mwandiko wako unaonesha mara Ilani, habali ndio nini mkuu?
 
Waislamu wanaingia magharibi kuliko wakristo na dhehebu zingine zinavyoingia nchi za kislamu.
Mkuu ukristu ulianza kabla ya uislamu mkuu hata katika hizo nchi zilizo za kiislamu hivi sasa. Ko ni kawaida kuenea hivi sasa coz ukristu ulikwishakuwepo maeneo hayo kitambo. Fuatilia vizuri historia ya kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu

Is AL JAZEERA MONOPOLISED BY JEWS? SINCE WHEN?
 
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?

Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda tu... Hii imekaaje wadau?

Mimi na wenzangu tulikaa mkao wa kula sasa Israel inaenda kufutwa. Lakini sioni dalili hiyo? Israel ni ka nchi kadogo sana. Iran ni kubwa kumbuka ilimsaidia hadi Russia makombora kwenye Vita yake dhidi ya Ukraine.

Sasa inakuaie? Maana hii Israel pia si ilishtakiwa huko South Africa? Alwaz na Ritz walituletea sana hizi taarifa. Sasa hukumu hajaleta mpaka leo. Walisema waisrael wote watafungwa nchi itbaki tupu wataenda kaa Wapalestine. Sasa imekuwa kimya.

Mi kwa kweli nakata tamaa maana sisi tunajipanga vizuri kuwasaidia wenzetu wao wanatuangusha. Kila tunalolianzisha linaishia njiani. FaizaFoxy alikuwa akitujulisha jinsi ambavyo makafir wanaenda kuteketea Gaza. Sasa hata taarifa hatupi tena. Wamepotea wenzangu wengi humu. Nimebaki mimi tu.
Ushabiki wa kijinga sana.
 
Mkuu ukristu ulianza kabla ya uislamu mkuu hata katika hizo nchi zilizo za kiislamu hivi sasa. Ko ni kawaida kuenea hivi sasa coz ukristu ulikwishakuwepo maeneo hayo kitambo. Fuatilia vizuri historia ya kila kitu.
Sawa sawa mkuu.
 
Usilolijua kwa sasa Aljazeera hii ya leo siyo ile iliyokuwa ikiripoti enzi za akina Osama. Mabeberu walishainunua na sasa hivi habari zake zinachujwa kama za CNN tu. Lakini Mkuu ulitegemea Israel na Marekani wangekubali kuwa mashambulizi ya Iran yamefanikiwa? Kwa propaganda za kivita lazima wakanushe. Hata Ukraine husema wametungua makombora yote ya Urusi lakini ukweli unajulikana.
Unaweza kututhibitishia hayo unayoyasema?
 
Iran nia yake ilikuwa kupiga vituo vya kijeshi na imevipiga.

Wachambuzi wote wa mambo ya kivita wanakwambia ni pigo kubwa sana kwa mazayuni na mashoga zao.
Nchi ngapi unajuwa zimejikusanya kuzuwia makombora ya engine za pikipiki ya Iran? Hesabu; mazayuni, USA, Uingereza, Ufaransa, Jordan, Saudi Arabia, UAE, Qatar, Egypt, Kuwait, Bahrain na Oman kisirisiri.

Mainstream media zimefungwa kutoa habari.
Haya maislamu machizi kweli,kwa hiyo Wairani ni ndugu zenu?
 
Iran nia yake ilikuwa kupiga vituo vya kijeshi na imevipiga.

Wachambuzi wote wa mambo ya kivita wanakwambia ni pigo kubwa sana kwa mazayuni na mashoga zao.
Nchi ngapi unajuwa zimejikusanya kuzuwia makombora ya engine za pikipiki ya Iran? Hesabu; mazayuni, USA, Uingereza, Ufaransa, Jordan, Saudi Arabia, UAE, Qatar, Egypt, Kuwait, Bahrain na Oman kisirisiri.

Mainstream media zimefungwa kutoa habari.
....wanakwambia, na wewe wamekwambia.
 
Oooh Muajemi hivi mara muajemi vile kumbe hamna kitu kabisa.Netanyahu kasema andaeni mabango ya pray for Iran!
Na namsikia hapa kasisitiza kwamba wakae mkao mzuri tu wa kupewa daku hao kobazi.
Kasema watapiga na kupiga tena no mercy.
 
Iran nia yake ilikuwa kupiga vituo vya kijeshi na imevipiga.

Wachambuzi wote wa mambo ya kivita wanakwambia ni pigo kubwa sana kwa mazayuni na mashoga zao.
Nchi ngapi unajuwa zimejikusanya kuzuwia makombora ya engine za pikipiki ya Iran? Hesabu; mazayuni, USA, Uingereza, Ufaransa, Jordan, Saudi Arabia, UAE, Qatar, Egypt, Kuwait, Bahrain na Oman kisirisiri.

Mainstream media zimefungwa kutoa habari.
Siku hizi umekuwa mpiga lamli,ushahidi wa kupigwa uko wapi,tunapowaambia Israel ni habari nyingine muwe mnaelewa.
 
Iran makobaz hawana akili hata kidogo na hata followers wao ni most stupid individuals, why? Wangekuwa na akili, Iran wangeogopa sana sanaaa kuona 385 strikes wamefanya na walisema ni very sophisticated arsenals, ila hakuna damage hata kidogo imetokea sbb zimetunguliwa almost 99.4%, yaani ni missiles 7 tu zimetua kiwanja cha jeshi na sio imefanya uharibifu kivile kwani ndege zinaruka na air base iko vizuri kabisa kwani imeangukia pembeni mwa kiwanja na kuchimba vishimo tu. Hii ingewashtua mno, ila sasa subiria Israel inaenda kujibu mapigo matakatifu.

Iran failed long ago, now Israel war cabinet said, they will HIT IRAN VERY VERY HARD AND LESSON WILL GO EVERY PART OF THE WORLD..!!

So Iran subirieni kipigo kitakatifu toka Israel and that will finish Iran and will be like Iraq, Libya or Syria or Aghanistan, hizi nchi hazina kitu tena, zimevurugwa hata hawajui leo ni lini au huu ni mwaka gani, Iran will be taken by nightmares watashangaa, for all those more than 385 strikes, hakuna hata damage imetokea Israel, kama ni mtu mwenye akili lazima uogope sana na kujiuliza, ila sbb Iran is blind, subiri sasa utaona retaliation ya Israel, itafunga Iran kabisa na hawatadhubutu tena kujaribu kujibu na Ayatollaah na dela lake na midevu michafu kunuka kama beberu inaenda kumalizwa, ndio maana Al Jazeera wameonyesha mashimo 2 mabomu yaliotua air base ya kijeshi sbb hakuna damage yoyote, nyoko zao
Sasa mbona hawataki waandishi wa habari kuchukua picha.
Je ndege ipi iliyoruka na vipi kama video ya siku nyingi,
yani lipigwe bomu halafu eti hamna damages tumia akili sio kua upinde basi kila kitu akisema bwana wenu mnakichukua hivyo hivyo na ndio maana hata shule uliambiwa binaadam wa kwanza alikua nyani hujapinga unaamini kwa sababu kasema bwana wenu.
 
Iran nia yake ilikuwa kupiga vituo vya kijeshi na imevipiga.

Wachambuzi wote wa mambo ya kivita wanakwambia ni pigo kubwa sana kwa mazayuni na mashoga zao.
Nchi ngapi unajuwa zimejikusanya kuzuwia makombora ya engine za pikipiki ya Iran? Hesabu; mazayuni, USA, Uingereza, Ufaransa, Jordan, Saudi Arabia, UAE, Qatar, Egypt, Kuwait, Bahrain na Oman kisirisiri.

Mainstream media zimefungwa kutoa habari.
al jazeera wamepigwa marufuku kufanya kazi israel, hawawezi kupata habari kule tena. bunge lao lilikaa likapitisha kuwa al jazeera walishiriki kwa namna moja ama nyingine kusapoti au kufanya ugaidi wa october 7, hivyo wamepigwa marufuku. hatutakiwi kukimbia ukweli, israel amepigwa na pamemuuma ndio maana anajiandaa kurudisha kisasi.
 
Back
Top Bottom