Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.


View attachment 3214316
Mbona picha ya mkewe hujaweka ili tuthibitishe kwamba ni 'mbichi kabisa'
 
Back
Top Bottom