binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Yeah i see…Kweli,
Tunasema kumsifia mwanaume mwenzako ni uchoko,
Lakini angalia tunavyowasifia action stars kama Denzel na Jackie Chan
Tunavyotamani kuwa na miili kama ya bodybuilders
Tunavyopata sonona baada ya kuangalia maumbile ya porn actors....
Ungekuta wanaume wanachagua miili yao huko mbinguni wangechagua miili ya action stars na athletes.
Kitu kingine najifunza kadri ninavyokua ni kuishi na ego za kiume, Mwanaume akinimbia kitu na tafsiri kuwa si yeye pengine ni ego yake.