Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Mi mwenyewe nimemuona Jakaya jana, nikasema kumbe uzee ukifika umefika.
hq720.jpg
Kweli Hata Wahuni huzeeka.
 
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala,zikaja Training Day,dejavu,man on fire,inside job,american gangster,great debetors,malcom x,manchurian candidate,antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70,amezeeka ni babu,uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4,mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na ulaya hawazeeki ovyoView attachment 3214316
Ni kweli jamaa anazeeka kweli, kila movie anayotoa cku hizi kazeeka zaidi. Hata zile equalizers, ukicheki ya kwanza muonekano wake ni tofauti kabisa na ile ya tatu.
 
Back
Top Bottom