Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Unazeeka mkuu. Huna maraisi wawili baada ya Samia tayari uzee utakuwa umewasili. Wakati unakimbia mno.
Hilo nalijua nimejiandaa kisaikolojia,now naishi kama mstaafu,balima nafuga sitaki stress nazingatia lishe na mazoezi,pombe ,sigara situmii,miaka 10 ijayo watoto wangu wawili watakuwa na miaka zaidi ya 25
 
Kuna wengine mvi zinaanza kutokea mapema sana ,kuna wengine wanapenda kukunja sura wakiwa na umri mdogo so zile NDITA zinatengeneza UZee mapema.

Ukiwa fit uzee utaanza kuonekana kuanzia 65+
Mimi nina mvi nyingi sana ila nikiinyoa panki langu na kupaka superblack utasema nina 30s kumbe nilisoma na maulid kitenge darasa moja,nakula hadi vibinti vya 2000
 
Hilo nalijua nimejiandaa kisaikolojia,now naishi kama mstaafu,balima nafuga sitaki stress nazingatia lishe na mazoezi,pombe ,sigara situmii,miaka 10 ijayo watoto wangu wawili watakuwa na miaka zaidi ya 25
Kabisa mkuu, uzee unakuja hivi punde.
 
Denzely anazeeka na utamu wake.

Nimeobserve kitu, Wanaume wakizungumzia kuzeeka kwao wanapeana maneno mazuri ya faraja, pitia comments utaona hiki.

Ngoja sasa wazungumzie kuzeeka kwa wanawake, they being very funny, cold and bitter.

One thing I have learned about men is that they are very good at projection.... I wish women could understand this, men's opinions and validation won't matter any further.

Pembeni ya mada kidogo. 😂
 
Actors sio Celebrity kivile sasa hivi kuna enzi appearance yako ndio inakuletea mkata hivyo wengi walikuwa wanfanya plastic surgery na face / neck lift...; sasa hivi sio issue kivile kwahio wanajiachia..., my point being Denzel hashindwi kuonekana kama kwenye Carbon Copy..., hapo anaweka dye na face / neck lift
 
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.


View attachment 3214316
Nilisoma mahali kuwa huyu bwana sasa hivi ni mchungaji.
 
One thing I have learned about men is that they are very good at projection.... I wish women could understand this, men's opinions and validation won't matter any further.
Kweli,

Tunasema kumsifia mwanaume mwenzako ni uchoko,

Lakini angalia tunavyowasifia action stars kama Denzel na Jackie Chan

Tunavyotamani kuwa na miili kama ya bodybuilders

Tunavyopata sonona baada ya kuangalia maumbile ya porn actors....

Ungekuta wanaume wanachagua miili yao huko mbinguni wangechagua miili ya action stars na athletes.
 
Back
Top Bottom