Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Mi mwenyewe nimemuona Jakaya jana, nikasema kumbe uzee ukifika umefika.
hq720.jpg
Hapo shingoni ni photoshop imehusika
 
Pastor Denzel Washington kwasasa, Black Handsome wa muda wote...wakati umeyoyoma ameamua amtumikie Mungu kwa muda wake uliobaki

Movies zake nzuri sana..na Eddy Muphy
 
Huyu baba asili yake kabisa ni wapi? Sisemi raia wa nchi ipi.
Kamachumu bukoba,ana ndugu yake muhaya kafariki mwaka juzi anaitwa michael njumba,google utamuona
 
Pastor Denzel Washington kwasasa, Black Handsome wa muda wote...wakati umeyoyoma ameamua amtumikie Mungu kwa muda wake uliobaki

Movies zake nzuri sana..na Eddy Muphy
JohnQ ilinisisimua,ilinifundisha namna mwanamume anavyopaswa kuwa jasiri when it comes to protect his family, ilinitoa machozi.
 
Back
Top Bottom