Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Mi mwenyewe nimemuona Jakaya jana, nikasema kumbe uzee ukifika umefika.
hq720.jpg
Una matatizo wewe [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kijana baro baro aliwah kukosa urais kwa nyerere kwasababu ya kuvaa mapete kwenye vidole vya mkono wa kushoto na kulia eti leo nae kakubali kuzeek

Uzee ukifika huna ujanja
Kikubwa ni kujiandaa, vijana watambue uzee haukwepeki, hivyo wajipange kwa maisha ya uzeeni kuanzia sasa, si kwa fedha tu, na afya ni muhimu.
 
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala,zikaja Training Day,dejavu,man on fire,inside job,amwrican gangster,grear debetors,malcom x,manchurian candidate,antwone fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwana miaka 70,amezeejabi babu,uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4,mshangaziPaulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na ulaya hawazeeki ovyoView attachment 3214316
Na wewe utakua umezeeeka
 
Inawezekana ulimuona kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka 15 yeye akiwa na miaka 45 sahivi lazima azeeke anamiaka 70
Ni kweli,wakati ukuta jamaa nilimkubali tangu nikiwa mdogo,
 
How time flies, moja kati ya mahendisam men kwenye tasnia ya filamu duniani...

Mimi namuangalia sana Shwarzenegger na kujisemea wakati ukuta, kawa mzee kabisa yani, moja kati ya watu strong kabisa.
Mbavu nene kwenye Commando ilitisha,kweli uzeeni baraka,unajiona mwenyewe ukipitia phase mbalimbali za maisha yako
 
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala,zikaja Training Day,dejavu,man on fire,inside job,american gangster,great debetors,malcom x,manchurian candidate,antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70,amezeeka ni babu,uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4,mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na ulaya hawazeeki ovyoView attachment 3214316
Tuko wengi, actors na actresses pamoja na musicians and sports personalities ni wengi wamekua mpaka kuzeeka before our own eyes 👁️ 👁️.
Screenshot_20250126-082156.jpg
Screenshot_20250126-082149.jpg
Screenshot_20250126-082137.jpg
Screenshot_20250126-083418.jpg
Screenshot_20250126-083530.jpg
Screenshot_20250126-083617.jpg
Screenshot_20250126-083548.jpg
Screenshot_20250126-083630.jpg
 
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala,zikaja Training Day,dejavu,man on fire,inside job,american gangster,great debetors,malcom x,manchurian candidate,antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70,amezeeka ni babu,uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4,mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na ulaya hawazeeki ovyoView attachment 3214316
Picha ya mshangazi Paulleta tafadhali
 
Back
Top Bottom