Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

Inaonekana mkuu hujapitia misukosuko ya hii dunia, sasa katukio kadogo tu hako, kanakutia hofu, ungemuona hapo chumbani si ungeamkia hospital jamani, kuwa na AMANI hilo tukio halikua linakuhusu wewe, ila wakuu wako waliokabidhiwa usalama wako ndio walikuamsha kukuonyesha hali ya mazingira yanayokuzunguka, ili ikiwezekana uchukue tahadhari, na yeye aligundua kama kuna mtu kamuona, but kajithibitishia kwamba hujamtambua, so hawezi kuja kukusumbua kwa sababu hujaharibu mission yake, Kula pilau lako kwa furaha mkuu. Nawatikia SIKU KUU NJEMA.
 
Nimekuelewa vyema kabisa mkuu vita niliyonayo kwa sasa ni HOFU ila nitaishinda na naamini sitodhurika.
Hakika. Wala usiogope na kuwakimbilia waaguzi wa giza.

Nilianza kuona majini na cellestial beings tangu nikiwa darasa la nne. Niliambiwa NISIOGOPE, nami niliishi na neno hilo hadi leo. Hapa ninapoishi mauzauza kinoma. Kuna wakati unakuta bomba la maji limefunguliwa bafuni huku home nikiwa peke yangu. Unasikia watu wapo nje ukichungulia hakuna kitu.....

Yote yameisha maana nilisali na kukemea. Ninayaona mengi lakini Mungu ananishindia
 


Hii ni dalili ya ugonjwq wa akili inaanza, wahi kutibu, usije chelewa, pia umaskini unazidi pia anza kujikita kufuta umaskini wako kwa haraka, kwani umaskini ni mojawapo ya chanzo cha ugonjwa wa akili
 
Kumbe muoga hivyo ni mimi nilikuja kukusabahi😁
 
Huyo aliyekujia huu muda naye anawaza yeye ndo amekosea masharti hadi ukamuona au wewe ndo unashida ...... Omba mungu amefanya makusud umuone lakin usimtambue
 
Njaa mbaya sana.
 
wenzako hatuvutii bangi kule kunakowaka moto, tunavuta bangi kule ambako hapawaki moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…