Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

Mara nyingi anapogundua hatua ya kwanza ni kusogea ulipo,sasa sjui huwa wanataka wakujue vzur zaid,mimi nilkimbia na kwenda kulala na kusikilizia kitakachotokea lakin hakikutokea kitu
Kwa muda huo nilirudishia pazia alafu nikatulia tuli sikusikia chochote mpaka sasa labda warudi siku nyingine.
 
Nifanye nini mbona mnanitisha
Mchawi ukimuogopa umempa ruhusa ya kufanikiwa jambo lake,

Hofu ni kama mlango wa roho zote chafu, Ukiishinda hofu umeshinda roho zote chafu ( Wachawi ni viumbe dhaifu sana, wanachowaweza watu wanakuja kwa njia za vitisho ili wakulainishe upate hofu wakamilishe mission zao bila tabu )
 
Nimesoma vizuri andiko lako lakini limeniacha na maswali....unasema uliogopa sana
1: Kilichokufanya uogope ni nini ni moto au ni mtu uliyemuona?

2: Kulipokucha ulikwenda kuangalia hiyo sehemu kulipokua na huo moto?

3: Unasema uliuona kama mita 10-15 je hilo eneo unaishi peke yako hakuna nyumba nyingine jirani?
Nimesoma vizuri andiko lako lakini limeniacha na maswali....unasema uliogopa sana
1: Kilichokufanya uogope ni nini ni moto au ni mtu uliyemuona?

2: Kulipokucha ulikwenda kuangalia hiyo sehemu kulipokua na huo moto?

3: Unasema uliuona kama mita 10-15 je hilo eneo unaishi peke yako hakuna nyumba nyingine jirani?

4: umesema mtu alikua akiwanga,,kwahiyo tuamini mtu akiwasha moto usiku hicho ni kitendo cha kuwanga?
 
1. Vyote kwa pamoja
2. Haukuwashwa chini uliwashwa ndani ya chombo kinachobebeka ila nmeshaangalia mazingira yote kuzunguka nyumba.
3.nyumba za majirani zipo kuanzia mita 80+
4. Kwa muda ule kuwasha moto na kuzunguka nao ni uwangaji na mavazi meusi aliyokuwa ameyavalia ni dhahiri kuwa ni uwangaji.
 
Siogopi tena mkuu nipo tayari kwa lolote.
 
Asante naona umeongeza maelezo mengine ya ziada ambayo hayakuwepo kwenye andiko la mwanzo:
Labda nisaidie kunielimisha KUWANGA ni nini? na faida zake ni zipi kwa naefanya hivyo na hasara au madhara kwa anaefanyiwa ni yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…