Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

tofauti yake cocaine na heroine ni nini?
 
tofauti yake cocaine na heroine ni nini?
Ni vitu viwili tofauti kabisa. Heroin inatokana na poppy plant, huko bara la asia. Cocaine inatokana na coca leaves za coca plant huko south America, peru., colombia etc.
Cocaine ni stimulant, inachangamsha, unakuwa alert. Heroin ni sedative, unalewa unalalaa.
 
Tumalize hili. Kama unaona Makonda alipigana na wafanya biashara ya madawa ya kulevya akili zako zitakuwa ng'ambo ambako ni watu wachache walioko huko.
 

Oooh, nimeelewa sasa.

Na kwanini wanasema madawa hayaonjwi, siku ukionja ndio ushakua teja?

Na why wengi wanaanza kutumia licha ya kujua madhara yake, yaani jamii ina mifano kabisa ya watu walio haribikiwa na madawa lakini kila siku watu wanaingia tena.

Nini ni motive ya wengi kuanza kutumia madawa, na yana ladha gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye ma club ya usiku kuna ufirauni mwingi sana,usipende kwenda huko, maana kuna wengine wanashikishana ukuta wanamalizana alafu wanarudi ndani wanaendelea na mengineo!!
 
Kwenye ma club ya usiku kuna ufirauni mwingi sana,usipende kwenda huko, maana kuna wengine wanashikishana ukuta wanamalizana alafu wanarudi ndani wanaendelea na mengineo!!
Nimeona mengi sana, i frequented kwa macheni, kino yote usiku lakini sikuwa naona livelive watu wakisniff bila woga. Hiyo sio ishara nzuri.
 
Wengi wanadhani ni alama ya ujanja, kuonekana una pesa. Alafu ukiwa na pesa unapewa ile pure kabisa. Ndio safari ya matatizo inaanza. Bahati tu cocaine sio addictive kama heroin. Matajiri wengi wanatumia coke. Haijalishi ni safi au chafu. Addiction yake inachukua muda sana. Ila chuma heroin ambayo east africa ipo sana, ni hatari. Siku moja tu na gari linawaka.
 
Mkuu ukisikia punda maana yake Ni mbebaji ambaye anatumwa,,
Sio anayevuta huo unga.

Punda(mtu anayebeba unga)
Teja (mtu anayetumia madawa)

Na hyo bei ya 1 gram 18000 heroine.
1 Gram 50000 cocaine Ni bei ya mtaani tanzania..
punda analipwa kulingana na uhatari na umbali wa sehem ilipo.

Mfano sehem zenye kifungo kirefu na sehem ambazo ni high demand,,sehem ambazo ni high risk,
basi punda atapata pesa nyingi ili kumpa tamaa akubali kwenda safari.

Zipo safari punda anakula $10000 kwa kubeba 1 kilogram tu.
Safari ya masaa 12 tu...
 
Mmh!

Inatest gani mpaka gari liwake siku moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna hiyo kitu mwongo huyo,tushasema hamna coke hapo ya kuvutwa mitaani,
heroin tena chafu ipo na ni vikete tu ndo utapata kwa bei hiyo anataja
Mkuu kama hujuwi kitu Si unyamaze?
Unajuwa kilo moja ya pure cocaine Brazil Dola ngp?
Na pure heroine Pakistan Dola ngp?

Tuanzie hapo kwnz..

Ili nifahamu upeo wako wa kufahamu haya mambo
 
Mkuu kama hujuwi kitu Si unyamaze?
Unajuwa kilo moja ya pure cocaine Brazil Dola ngp?
Na pure heroine Pakistan Dola ngp?

Tuanzie hapo kwnz..

Ili nifahamu upeo wako wa kufahamu hayq mambo
Sijui , sifanyi hiyo biaShara, we unajua tutajie.
 
Nimeshangaa jamaa anaitaja cocaine bila wasiwasi, na sidhani hata km anaijua, Cocaine ni pesa, cocaine cyo ya kutumiwa na mandezi ndezi
Mkuu hivi unajuwa kama heroine Ni bei mbaya sana marekani na brazili kuliko COCAINE?

Marekani ukivuta heroine Ni pesa ndefu kuliko cocaine unajuwa kwann?

Msibishane vitu huvijuwi,,na hujuwi unabishana na nani pengine ndy mwenyewe PABLO ESCOBAR..

miaka ya 2005 kurudi 1990 --80 unga heroine ulikuwa Ni bei mbaya sn tanzania unajuwa kwann?

Mkinijibu hayo nitaelewa nabishana na akina Nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…