Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam




KARIBU DARESALAMU NDUGU
 
Vipi kuhusu heroine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es Salaam ndani ya miaka 10 ijayo, itaenda kugeuka Zombie City (Heroin Addicts), kama Durban au Philadelphia kama mamlaka hazitachukua hatua za ziada kuthibiti.
 
Mwamba kaona shisha japo Huwa sijui kilichopo mle.Lakini vijana tuache ulimbukeni kwa kutumia vitu vya ovyo ovyo.
Ni hiyo masheesha ye anasema Cocain.
Yale wanaweka wanajua wao ila sana itakua heroin chafu ndio ipo sana hapo Kino.
Wanaona ujanjaa kuvuta hayo masheesha ni ushamba tu.
Bongo yanawekwa mpk mavi kwenye hizo sheesha, bangi, na hizo heroin za bei chache
 
Mnataka kujifanya hamumjui supplier mkuu wa ngada sio?
Hivi alikuwa blackmailed nini kama kweli yupo unayemsema? Sasa anashindwa kujinasua kutoka kwenye makucha Yao? Maana sidhani kama ana roho mbaya kiasi hicho cha kuona vijana na watoto na Hata watu wazima wanaangamia!

Afunguke apate msaada wa kumsaidia atoke kwenye makucha hayo ya maharamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…