Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Utaku

Utakuwa unatangaza biashara
 
Ndy mkuu..

Hiyo Ni product ya Afghanistan na Pakistan..
Sasa tunavyoambiwaga kuwa punda kunalipa mbona sielewi.

Gram bei ya kuuza 18000, means imefika chini ya hapo labda huko pakistan ni 5000 kwa one gram.


Kilo moja yaani 1000 grams ndio 5M sasa punda analipwa bei gani ili mzigo utoe faida/super profit ili achukue hiyo risk na kilo moja sio mchezo kumeza (wanavyosema wanameza).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa specific zaidi. Uliona maeneo gani au club zipi?
 
Wajinga ndiyo waliowao. Pole sana. Bashite alivalia njuga kitu gani? Bashite hakuwahi kuvalia njuga kitu kama madawa ya kulevya bali alikuwa anatumia madawa kuadhibu watu. Kimsingi aliharibu vita ya madawa.
 
Jibu la uhakika ambalo hata mahakamani watalichukua kama ushahidi ni la maabara. Unga unalambwa kuna level of numbness mojawapo inakua nayo kuzidi nyingine.

Ushahidi ukiwa ni Afande Adui aligundua ni cocaine kutokana na harufu hapo hafungwi mtu. Najua mara nyingi inatumika kahawa kumfanya mbwa asijue harufu.
 
We mpumbavu kama umeanza hiyo kazi juzi ndio ukae kimya.
Wenzio tulistaaafu wakati uko kijijini kwenu na huna lolote unalojua mbwiga we
 
Wengi hawajui tofauti ya cocaine na heroin. Wanadhaani cocaine na heroin ni sawa, moja wanaita unga mchafu dah! 🀣
 
Mkuu tupe taarifa ni wapi sisi wengine ndo tunapopatia ugali wetu [emoji16][emoji16]
 
Kuna watu wanachekesha sana hapa.
Kama mnalalamika unga wa mahindi 3000 umepanda na maharage 2000 sasa we Cocain ya nini?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hiyo ni 50 + kwenda mbere line moja mtawezaje?
Mudu kwanza Ugali maharage vuta bangi lako tu bei sawa na bure 500-1000 unapumzika murua .Hizo mambo mengine waachie wenye hela zao tu.
 
Kuna watu wanachekesha sana hapa.
Kama mnalalamika unga wa mahindi 3000 umepanda na maharage 2000 sasa we Cocain ya nini?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hiyo ni 50 + kwenda mbere line moja mtawezaje?
Mbere ndio wapi? Karekebishe kwanza speech center ya kwenye ubongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…