Huku bongo watakuwa wanakula crack cocaine ile chafu aiseeWala hakuna show off yeyote.
Gram moja cocaine Ni sh 50000 ya tanzania.
Ambayo mtu mmoja anaweza akavuta siku 3 au week kutegemea na dose yake ya uteja.
.hapo Pana show off gani.
Ndo hiyo tunaita brown sugar mtu anafkiria tunaongelea sukari ya kilomberoHuku bongo watakuwa wanakula crack cocaine ile chafu aisee
Akikujibu nistue chief.Sasa tunavyoambiwaga kuwa punda kunalipa mbona sielewi.
Gram bei ya kuuza 18000, means imefika chini ya hapo labda huko pakistan ni 5000 kwa one gram.
Kilo moja yaani 1000 grams ndio 5M sasa punda analipwa bei gani ili mzigo utoe faida/super profit ili achukue hiyo risk na kilo moja sio mchezo kumeza (wanavyosema wanameza).
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uelewe kwamba kabla ya kufikishwa mahakamani mtuhumiwa ni lazima awe amekamatwa.Jibu la uhakika ambalo hata mahakamani watalichukua kama ushahidi ni la maabara. Unga unalambwa kuna level of numbness mojawapo inakua nayo kuzidi nyingine.
Ushahidi ukiwa ni Afande Adui aligundua ni cocaine kutokana na harufu hapo hafungwi mtu. Najua mara nyingi inatumika kahawa kumfanya mbwa asijue harufu.
Ameona watu wanabui ugoro kadhani unga[emoji14]Ulipaswa useme umeona wapi hiyo cocaine.. clubs zipi!?
Sisi kukujibu wakati hatujaona hao wadada wala cocaine...itakua ngumu Sana....
Umeona buguruni?yombo Buza?masaki?
Hakuna sifa mbaya kama kujigamba unafanya biashara chafu.We mpumbavu kama umeanza hiyo kazi juzi ndio ukae kimya.
Wenzio tulistaaafu wakati uko kijijini kwenu na huna lolote unalojua mbwiga we
Halafu wanajifanya wajuwaji.Wengi hawajui tofauti ya cocaine na heroin. Wanadhaani cocaine na heroin ni sawa, moja wanaita unga mchafu dah! [emoji1787]
Zipo zimejaa tele mjini huko.Wanaotumia wanapata wapi sasa au wanapataje?
Kwann hampendi kujifunza?Huku bongo watakuwa wanakula crack cocaine ile chafu aisee
Tushasema hizo biashara baba zako tuliacha.Hakuna sifa mbaya kama kujigamba unafanya biashara chafu.
Labda nikueleze tu wewe Pimbi.
Profile yangu huwezifikia hata robo.
Baki na upumbavu wako.
Ingia gougle uliza cocaine inapatikana wp.
Heroine inapatikana wapi.
Mimi nimepita kwenye mambo mengi,,
Tena FRONT LINE..
sio mambo ya kuhadithiwa vijiweni.
Naweza kukupa bei za hizo biashara inchi zote Dunia na bei zake .
Nikikutajia club utaleta info gani, zaidi ya kuchafua biashara za watu? Nafahamu ni cocaine baada ya kuwaona reaction zao, uchangamfu etc...
Sasa kama uliacha ulifanya biashara hizo inchi gani?Tushasema hizo biashara baba zako tuliacha.
We ni mtoto mdogo sana jiangalie vizuri utengeneze maisha ubishana hapa
Nafatilia sana haya mambo ya madawa majority hutumia cracked cocaine Tena Hawa mateja wa mtaani ndio usiseme aisee.Kwann hampendi kujifunza?
Kama huelewi kubali kujifunza.
Kama utauziwa uchafu kesho mateja yote yanakukimbia yanakwenda kwa aliye na cocaine pure,,
Usidhani kama hao wanaotumia hawajuwi.
Wanajuwa kizuri na uchafu.
Hapa bongo Kuna watali/Kuna wazungu ambao wanafanya kazi hapa bongoi pia ambao ni mateja ya cocaine unadhani wanapata wp?
Hivi vitu ni network kubwa sn...
Cracked heroine hyo ndy inakuwa ktk mfumo huo,Nafatilia sana haya mambo ya madawa majority hutumia cracked cocaine Tena Hawa mateja wa mtaani ndio usiseme aisee.
Hii ni ka experience changu tu na hata hyo yako nayo ni experience pia
All in all watumiaji wa hii kitu waonewe huruma maana akikosa ka mgonjwa Hadi huruma na hyo kujichoma sindano dohCracked heroine hyo ndy inakuwa ktk mfumo huo,
Akifika anapofika ataitumia kwa matumizi tofauti.
Either cocktail,(sigara au bangi)
Either sniffing,(kutumia puani)
Either sindano.(kujichoma kwenye mishipa)
Na Ni lazima waziisage ili aweze kuitumia.(cracked)
Inauzwa vile cracked ili kumthibitishia mnunuzi kwamba hii Mali haijachanganywa na uchafu.
Mara nyingi mateja hayapendi kununuwa unga uliosagwa kuwa vumbi.
Wanaamini utakuwa umechanganywa.
Arusha bangi imehalalishwa na mirungi na watu hawaogopi hata kule Hadi wanawake na mabinti wanavuta huko vichochoroniNi kama nilivyo fika Arusha nilishanga sana bangi inavutwa hadi stendi Yani ulikaa mahali lazima Moshi wa bangi ufuke