Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Hata marekan wabwea unga ñi wengi +mashoga yajayo yanakuja!
 
Nafatilia sana haya mambo ya madawa majority hutumia cracked cocaine Tena Hawa mateja wa mtaani ndio usiseme aisee.
Hii ni ka experience changu tu na hata hyo yako nayo ni experience pia
Crack cocaine ni rocks kama mabonge ya chumvi ghafi. Sio powder.
 

Kwahiyo wewe unataka kujua wanapataje ila unaogopa kutaja ulipoona watu wakitumia? Hii ni umbea kama mwingine wote
 
Maisha yenyewe magumu hayaeleweki. Huku waliopo kwenye uongozi,hasa wabunge,badala ya kuwasimamia wananchi waliowatuma,wenyewe ni kuabudu tu rais yoyote anaekuja. Hawajali tena habari za mtu mwingine hasa masikini. Acha tu wajitulize na powder. Dunia inakwenda kasi sana
 
Unaanza Matusi sasa we jamaa ni mpumbavu unataka tuanze kutukanana kwa kitu kisicho hata na maana hapa?
Mind your manners you piece of shit ni lugha gani kwanza ?
We usilete hayo mambo tulia kidogo.
 
Unaanza Matusi sasa we jamaa ni mpumbavu unataka tuanze kutukanana kwa kitu kisicho hata na maana hapa?
Mind your manners you piece of shit ni lugha gani kwanza ?
We usilete hayo mambo tulia kidogo.
Kwenu kumwita mtu mpumbavu sio matusi?

Rejea kwenye quote zako ulizonijibu.
 
mkuu wewe ni mkamashap chombo Cha dola,
 
Kipi kinacholeta Uteja
Uteja hata sigara,,kunywa soda Sana,,pombe, kubeti ,,picha za ngono,,,yaani chochote kilichokufanya addicted basi ni uteja.


Ndy maana unaona mtu akikikosa kitu ambacho yupo addicted nacho ,,
anahaha mradi apate kile anachotamani.,

Ila tatizo la heroine ukiikosa unaumwa(AROSTO),,
either tumbo,,au unapigwa na kitu kama shot ya umeme mwilini.
Especially asubuhi lazima uvute ukae Sawa,,
Na jioni ili uweze kulala.

Hapo ni lazima uitafute kete uvute kwnz ndy inatibu hiyo AROSTO..

Vinginevyo utaharisha au kupata maumivu makali mwili mzima.

Cocaine haina madhara Sana.
Ndy maana hata marekani wakikushika na hyo COCAINE adhabu yake tofauti kidogo na heroine..
Heroine ni sumu..
 
Uliingizwa chaka..Bashite hakutaka kumkomboa mtu. Alitaka awe new Don in town...Mishe zote aonwe yeye apige hela.
 
Nasikia domo anapiga coca kitambo tu. Sema coca safi hainaga noma sana..kuipata sasa safi ndo kipengele
 
Duuuh, sasa kwanini wanatumia heroine na sio cocaine ilhali wanajua side effects za heroine, au tatizo ni bei ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…