Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
sazani kama watumishi wa umma hawafanyi kazi kwasababu ya mishahara, ni kwasababu ya utawala mbovu kabla ya mtu kuajiriwa sikuna mkataba ?Simbachawene anakwepa ukweli huwez mtaka mtu awajibike kwa mishahara wanayowapa ya 10k kwa siku watumishi wamekuwa hawana tofaut na wabeba zege na mama ntilie mtaan nao wanawaza kuku na mbuz zao walizofuga nyumban kujiongezea kipato
Wema sepetu anahudhuria kikao kimoja cha ccm anatoka na zaid ya 2m mtumish anashinda mwez mzima anapata 400k
Serikali iboreshe viapro na maslahi za watumish wawe wanawaza kaz sio kuku na marejesho ya vikoba
Ndiyo maana wengi wanapenda kufanya kazi serikalini.Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na utawala uliopo mbovu kwasababu utawala ndio wasimamizi wakuu wa watumishi hao.
katika uhalisia utawala uliopo ndio wasimamizi wakuu wa watumishi hawa wasio wazalendo kama watumishi hawafanyi kazi inamaana hata hawa wasimamizi kwenye utawala pia hawafanyi kazi hili ni pengo kubwa sana kwa watanzania maskini.
kama hawafanyi kazi inamaana hata serikali haifanyi kaziWatumishi kwenye sekta nyingi za serikali hawafanyi kazi inavyotakiwa.Nenda ofisi mbalimbali,baadhi ya wafanyakazi wanasingizia NETWORK,wana msururu mkubwa wa kazi,ila hawazifanyi inavyotakiwa,badala yake baadhi yao wanatumia resources za serikali kwa manufaa yao.
Mzee mbona kama unachukulia poa uhalisia wa malipo ya watumishi?sazani kama watumishi wa umma hawafanyi kazi kwasababu ya mishahara, ni kwasababu ya utawala mbovu kabla ya mtu kuajiriwa sikuna mkataba ?
pamoja na hayo nafikiri hawa hawafanyi kazi kwasababu ya usimamizi mbovu na utawala mbovu wanajua hata wasipo fanya chochote mshahara wao upo pale pale kimkataba. hivyo hoja ya udogo wa mshahara haina maana kwani hawakuona wakati wanaajiriwa kuwa mshahara mdogo.
Mtu maisha yake anapambana ku-survive tu halafu unamwambia aache kazi sababu mahahara mdogo hivi una akili kweli.! Mbona unaandika kama vile haujui uhalisia wa maisha ya watanzania wanyonge. Hao viongozi waanze kuboresha masilahi ya watumishi na kupunguza hela wanzolipana kwa anasa.sazani kama watumishi wa umma hawafanyi kazi kwasababu ya mishahara, ni kwasababu ya utawala mbovu kabla ya mtu kuajiriwa sikuna mkataba ?
pamoja na hayo nafikiri hawa hawafanyi kazi kwasababu ya usimamizi mbovu na utawala mbovu wanajua hata wasipo fanya chochote mshahara wao upo pale pale kimkataba. hivyo hoja ya udogo wa mshahara haina maana kwani hawakuona wakati wanaajiriwa kuwa mshahara mdogo.
Kijana hebu kuwa na heshima kwa mtu unaeongea nae hii mitandao isikufanye uone kila mtu unalingana nae sawa, wapi nimesema waache kazi ? mshahara mdogo ndio waangie kazini kukaa? alafu wewe ndio unaniita mimi sina akili kwa hoja zako hizi?Mtu maisha yake anapambana ku-survive tu halafu unamwambia aache kazi sababu mahahara mdogo hivi una akili kweli.! Mbona unaandika kama vile haujui uhalisia wa maisha ya watanzania wanyonge. Hao viongozi waanze kuboresha masilahi ya watumishi na kupunguza hela wanzolipana kwa anasa.
Nazani pia kuna sababu nyengine mbalimbali za watumishi hao kutofanya kazi, lakini suala la mishahara nazani limechukua sehemu ndogo tu, kwa experience yangu watumishi wengi wa ngazi mbalimbali huwa wanamishahara mizuri kulingana na vitengo na nafasi wanazo zifanyia.Mzee mbona kama unachukulia poa uhalisia wa malipo ya watumishi?
Unapoanza kazi serikalini inakuwa hauna ujanja ila kukubali chochote unachopewa kama kuanzia then utajiongeza ukishaanza kazi huko mbeleni.
Na wao wanajilipa x 20Simbachawene anakwepa ukweli huwez mtaka mtu awajibike kwa mishahara wanayowapa ya 10k kwa siku watumishi wamekuwa hawana tofaut na wabeba zege na mama ntilie mtaan nao wanawaza kuku na mbuz zao walizofuga nyumban kujiongezea kipato
Wema sepetu anahudhuria kikao kimoja cha ccm anatoka na zaid ya 2m mtumish anashinda mwez mzima anapata 400k
Serikali iboreshe viapro na maslahi za watumish wawe wanawaza kaz sio kuku na marejesho ya vikoba
Sasa wewe Kwa mwezi una mshahara wa 600K, wakati mbunge analipwa Kwa siku posho tu 600K hata ningekuwa Mimi huo moyo wa kazi unatoka wapi ??Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na utawala uliopo mbovu kwasababu utawala ndio wasimamizi wakuu wa watumishi hao.
katika uhalisia utawala uliopo ndio wasimamizi wakuu wa watumishi hawa wasio wazalendo kama watumishi hawafanyi kazi inamaana hata hawa wasimamizi kwenye utawala pia hawafanyi kazi hili ni pengo kubwa sana kwa watanzania maskini.
we unasema tu.sazani kama watumishi wa umma hawafanyi kazi kwasababu ya mishahara, ni kwasababu ya utawala mbovu kabla ya mtu kuajiriwa sikuna mkataba ?
pamoja na hayo nafikiri hawa hawafanyi kazi kwasababu ya usimamizi mbovu na utawala mbovu wanajua hata wasipo fanya chochote mshahara wao upo pale pale kimkataba. hivyo hoja ya udogo wa mshahara haina maana kwani hawakuona wakati wanaajiriwa kuwa mshahara mdogo.
Kwa nini wengine wanalipwa 10M wengine 300K serikali moja, nchi moja ?Kijana hebu kuwa na heshima kwa mtu unaeongea nae hii mitandao isikufanye uone kila mtu unalingana nae sawa, wapi nimesema waache kazi ? mshahara mdogo ndio waangie kazini kukaa? alafu wewe ndio unaniita mimi sina akili kwa hoja zako hizi?
Kazi watazikubali na kwa sababu kipato akiendani na mahitaji lazima wajitafutie side hustles hapo ndipo wengine hawakai au wanaondoka mapema ofisini na wengine wanakua wapiga dili hapo hapo ofisini.Kijana hebu kuwa na heshima kwa mtu unaeongea nae hii mitandao isikufanye uone kila mtu unalingana nae sawa, wapi nimesema waache kazi ? mshahara mdogo ndio waangie kazini kukaa? alafu wewe ndio unaniita mimi sina akili kwa hoja zako hizi?
watu wanaacha kujadili sababu za msingi wanakazi ya kutupa lawama huku na kule kitu ambacho ni makelele yasiyo na tija.Kazi watazikubali na kwa sababu kipato akiendani na mahitaji lazima wajitafutie side hustles hapo ndipo wengine hawakai au wanaondoka mapema ofisini na wengine wanakua wapiga dili hapo hapo ofisini.
Suluhisho ni kuboresha masilahi ya watumishi, kusawazisha masilahi ya wanasiasa angalao yaendane hali yetu na kutumia kodi kwa uwazi na ufanisi. Otherwise kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
Asilimia 80% awafanyi kaziKatika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.