Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

Sawa
Sawa sawa kabisa
 
Mkuu unaandika kwa kujiamini sana
 
lakini mbuzi kagoma NO
 
Wanaosema hayo wana wivu tu
Ina maana matajiri huwa hawachepuki?
Ina maana kila masikini amefika hapo kwasababu ya ngono?
 
Ukipiga gharama za Lodge 20,000/-, bia 20,000/-, posho 30000/-
Kwenye mapenzi Mwanaume ndo Una Gharama, mwanamke yeye anapataa Faida mara mbili, ata enjoy mapenzi na Posho juuu.
Nilisha wai kua na Demu wa kichaga alikua na msemo wake" Yaani mi Niki Fanya mapenzi napata Hela, we ukifanya mapezi unatoa hela"
 
Wapenda ngonoo mkujee hapa, mnaitwaaa, kuna jambo lenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mwenye kukikubali cheo hicho, hayupo.

Kila mtu ni mwana maadili mzuri, hapendi ngono na ana dini anasali sana, ni kama tu uchawi na wachawi hakuna anayekubali hadi siku anadondoka na ungo.
 
kama kuna ukweli wake
 
Hamna kitu kama hicho mbona mie napemda mbususu na hapa nilipo nina billion zangu 3 kwenye account
 
kama kuna ukweli wake
Ipo hii mkuu, kuna mzee mmoja hivi ana watoto wakike wa 4, wote anafanya nao mapenzi kimazingara ( wote wamezeekea nyumbani hakuna hata mmoja aliye olewa). Zipo kesi nyingi sana za namna hiyo vijana wamebaki kama wasindikazaji kwenye maisha.
 
MKuu hizi elimu ni pana Sana hata Nikijaribu kuelezea Nitakuwa Naacha vitu Vingi Mno..

Kiufupi Sex ikifanywa kama wanavyofanya Vijana sasa Hivi leo yuko na Huyu kesho yuko na Yule Ni hatari sana na hata hupeleka Kupoteza mwelekeo wa mambo yake..

Sex ni lango La kuingia kwenye Malimwengu mbali mbali na zamani walikuwa Wakifanya Hivyo Kwa Wahindu na Kwa Wabudha (Japo mpaka sasa wanafanya Ila sio kwenye Masinagogi yao kama zamani)

Umewahi kusikia Maneno kama Sexual alchemy, Au Sexual Transmutation (Au Sexual energy Transmutation)..
Au umewahi kusikia kuhusu YingYang na Tao Practise?



Mnapokuwa Mnafanya Mapenz kadri mnavyozidi kuzama Intimacily ndo mnavyozidi kubadilishana Energy au msipobadilishana bhasi mtashare energy sasa hapa ndo kuna shida unaweza ukachukua Energy za Wadada Zaidi ya Kumi tofauti kwa siku moja na Kila Energy ina Frequency yake na ina mambo yake mwingine ana mikosi unabeba na mwingine ana shida unabeba..

Mwisho wa siku unajikuta hata weww mwenyew hujielewi Akili.yako Inakumbwa Na stress ambazo hujui hata zinatoka nini na ndo maana Watu Husema kuwa huenda Hizo ni Kubadilishana kwa roho chafu (Demon Transfer)..

Kuna Vingi sijavielezea Hapo Vingi sana naviacha blank.. na hayo Ni pamoja na Kumwaga Semen na Vingine...


Tuhamie kwenye Sayansi..

Unapofanya mapenz na mwanaume wewe mwanamke una Micro DNA information iliyojaa taarifa na karma na Mapito ya Huyo mwanaume..
Kitalaamu Transfer hii huitwa male microchimerism. (Ingawaje bado ipo Kwenye Discussion)..

Japo Mpaka Sasa Inakubalika kwa asilimia chache kwamba Mkifanya mapenzi wote mnaachiana some sort of Micro Information ambazo ndo huitwa Microchimerism..

Kwa sasa Microchimerism au Kuhamisha DNA kwenda kwa mwingine inakuwa Regarded sana na imekubalika kwa reseadch ni Pregnancy Microchimerism..

Kwamba mwanamke akibeba mimba ya mwanaume bhasi baadhi ya DNA kutoka kwa Mwanaume Humwingia na Hazitoki Mpaka anapokufa ..

Baadhi ya Studies za kisayansi Zilizofanyika mpaka Sasa Ambazo zimeacha Discussion kuhusu Microchimerism ambazo hazijatokana na Mimba..Yaani Y chromo..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…