Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

Kufanya makosa ni kawaida, Ila iku kurudia makosa yaleyale sio sawa
 
Vitu vidogo vidogo kama hivi vikiwa vinakosewa kosewa kila muda na mbaya zaidi wanaogundua ni hadhala basi kuna shida huko kwenye maofisi ya umma. Je kwenye mikataba serikali inayoingia na wadau wa maendeleo mambo yako sawa?!
 
Back
Top Bottom