kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika Magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video Nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa Magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua JPM kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa Mererani ili watu wao wezi wa madini yetu Kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.