Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

We mkuu umaskini ndo unakusumbua. Unahisi kwamba ukiwa maskini eti ndo mzalendo wa kweli. Money should be in the hands of people siyo bank kuu kuzifungia. Jpm was totally wrong na angekuwa hai halafu akishastafu angejionea mwenyewe jinsi watu wanavyomfundisha kazi. Umeshasikia federal reserve inafanya biasha za kipumbavu kama alivyokuwa anafanya jpm. Bureau de change zinapaswa kuwa nyingi ili kuongeza liquidity kwenye mzunguko siyo kuzimaliza na eti pesa za kigeni unataka zipitie bank za biashara kama nmb nk.

Fungukeni nyie mitanzania msiojua jua hili na lile ndo mana JPm anapenda na mbumbumbu wengi huwezi kukuta msomi anajadili upuuzi wa jpm ambaye alitaka kuzika uchumi wa Tanzania na mbaya zaidi anatupiga fix hadharani kabisa eti tumeingia uchumi wa kati wakati daily biashara za mahoteli, duka, viwand nk vinafunga biashaza zao. Nenda kule bagamoyo viwanda vya chumvi vilishindwa kufanya biashara kipindi Cha jpm na kuamua kufunga na kurudi kukaa lakini Sasa hivi kila kiwanda kimerudi na mahoteli yanafanya kazi very strongly. Nenda pale manzese uone mahoteli yaliyojifunga yenyewe kwa Sasa yanafanya kazi tena upya na kwa Kasi kwa sababu clients wapo na watu wanalala na kula Bata daily. Umaskini unakusumbua we bwana mdogo
Mbumbu wengi?

Linamaanisha nini mkuu!

Hivi, imekuwaje uchumi wetu ushuke ghafula licha kwamba tulifikia kwenye uchumi wa kati mdogo na sasa hakuna?

Ukraine ukiizungumzia basi uongelee na UVIKO kipindi cha nyuma
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Kama yalifanyika mambo mabovu ni vyema kuyarekebisha.
 
Magufuli Kuna mambo amedhubitu kufanya mf kuanzisha hii miradi mikubwa , ilikua sahihi kabisa, lakini alishindwa kujua uchumi ndio unatoa fedha za kukamilisha hiyo miradi, uendeshaji mbaya WA uchumi ungepelekea miradi kukwama, ni bahato sana mh Samia alikuja kwa mda sahihi
 
Mradi w reli,ndege na mingine ya aina hiyo kama mastandi,maviwnja ambayo yanchakaa tuu vina Tija gani kwa Nchi?

Takwimu zinaonesha Kasi y kukua Kwa uchumi ilipungua sana kwa Miaka 5 iliyopita kulinganisha na Mkapa na JK.
 
Ulipanda at a decreasing rate 😂😂😂.
Yes meaning Kasi ya ukuaji ilipungua.
Screenshot_20230322-182232.jpg
 
Tungefikia hatua ya kununua wembe kwa shilingi milioni kama ilivyokuwa Zimbabwe
Kweli kabisa mkuu,..we fikilia mifuko ya hifadhi za jamii ilishaanza kufilisika walikuwa wanashindwa hata kulipa pension za waarimu,..mzee wangu alisota miaka mi3 baada ya kustaafu.,..kapata pension chini ya Mama Samia.
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Upande wa kesi za Lema ni saw maana ni mmoja wa wanasiasa waliobambikiwa kesi!!
 
Maushungi wamekutana na Nepi Nnauye ni kama PIPA NA MFUNIKO.

Wote wameishia LA SABA.
Mtaongea kila jambo kujifariji Kwa maumivu,uchungu na hasira ila ukweli unabikia kwamba Samia amemfunika vibaya sana legacy..

Nakupa mfano mdogo wakati Mwendazake akijivunia Magomeni Kota ambayo nayo Samia kaikamilisha ,pembeni yake Kuna Magomeni Kota awamu ya 2 inaendelea blocks 5.

Kuna Temeke Kota inaendelea blocks 7 za gorofa 9 Kila Moja.

Sasa hivyo ni Cha mtoto,kubwa lao ni Samia Housing Scheme,ikumbukwe Mwendazake aliua kabisa sekta ya Real estate Samia kafufua kama ifuatavyo 👇
nehemiahmchechu_1677217161774949.jpg
nehemiahmchechu_1677217161774948.jpg
nehemiahmchechu_1677217161774798.jpg
 
Back
Top Bottom