Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Magufuli alikuwa anafanya mambo kibabe nakwa kukurupuka, acha wafumue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbafu wewe. Nyamaza unaanzaje kumtukana raisi wetu kipenzi. Mungu akulaaaniMaushungi wamekutana na Nepi Nnauye ni kama PIPA NA MFUNIKO.
Wote wameishia LA SABA.
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Magufuli Elimu yake yakuungaunga tu, acheni unafiki wenu.Kichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.
Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .
Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Hahahaha wabongo bhana kwa iyo uchumi ni sera za chama au mawazo ya Rais mbona nchi hii imejaa misukule ivi lini tutajadili sera zetu na jinsi ya kujikuamua apa tulipo Ili tusonge mbele always kujadili watu poor youMagufuli alikuwa anaangamiza uchumi kwa siasa zake mbovu.
Na ndio majitu yaliyojazana humo serikalini majitu ya vyeti bandia na kuunga unga. Intelligence ni zero.Kichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.
Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .
Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Mtahangaika Sana, tunachoshukuru Kwa sasa ni Yule Subiani kutwaliwa na kupelekwa KuzimuNimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Kama Jiwe na Makonda na Sabaya na akina Le MutuzKichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.
Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .
Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Ulitaka uendelee kutamba wewe acha roho mbaya ya kishetani.Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Sahiz ndo yanajazana yaan hao ni wale waswahili, vichwa vyao Huwa vimejaa ujuajiiiiii ila kichwan ni sifuri kabisa .Na ndio majitu yaliyojazana humo serikalini majitu ya vyeti bandia na kuunga unga. Intelligence ni zero.
Kwani Sasa hivi Kuna Serikali?Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Visasi binafsi.
Vita zao (usongo)waziache kwenye mito na wake zao.
Dola haichezewi.
Uzuri wa Sheria, haipindi ikapindika.
Nao, hawata kuwepo milele.