Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.

Magufuli hakustahili kubwa rais, alikuwa na upeo mdogo sana kwa madaraka ya urais. Yeye alipaswa kuishia kwenye uwaziri. Mtu mwenye pupa, kiburi na mwenye visasi hapaswi kuwa rais. Ni vyema hatua sahihi zichukuliwe kuondoa ule uhuni aliokuwa anafanya alipopewa madaraka.
 
Kichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.

Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .

Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Magufuli Elimu yake yakuungaunga tu, acheni unafiki wenu.
 
Visasi binafsi.
Vita zao (usongo)waziache kwenye mito na wake zao.
Dola haichezewi.
Uzuri wa Sheria, haipindi ikapindika.

Nao, hawata kuwepo milele.
 
Shida ya hawa watu ni kuishi kwenye uongo wao. Yaani wanajiaminisha vitu ambavyo havipo kuhalalisha ufisadi.

Sababu ya Magufuli kutaka hela za taasisi za umma kuwekwa hazina kwanza ni mapato ya serikali ambae ni 100% shareholder wa hizo taasisi, hao ma DG, sijui commissioners ni waajiriwa tu wa serikali ambae ina mamlaka ya kuamua ifanye nini na mapato yake sio mtu mwingine yeyote.

Popote mapato yalipo mwisho wa mwaka serikali inatakiwa kupewa faida kama imepatikana na kuwaachia reserves za kujiendesha na kufanya uwekezaji hizo taasisi.

Sasa unakuta wao hizo hela za ziada badala ya kuipa serikali mwenye mali wanaweka bank on savings account. Huko bank wakipata interest ya savings ndio wanatumia kujiendesha au kujilipa marupurupu.

Hela hizo hizo za serikali kwa sababu zimewekwa kama savings kwenye mabank, hiyo inawapa guarantee na wao kuzichezesha kwa faida. Uwekezaji wenye risk ndogo ni kununua government bonds za muda mfupi zenye riba za 14% kwa ivyo serikali inakopeshwa kwa mapato ya taasisi zake ambapo ni hela zao kama wangekuwa wanaangalia assets zao, mtu mwenye akili zako timamu uwezi kuona ujinga huu uliokuwa ukiendelea.
 
Magufuli alikuwa anaangamiza uchumi kwa siasa zake mbovu.
Hahahaha wabongo bhana kwa iyo uchumi ni sera za chama au mawazo ya Rais mbona nchi hii imejaa misukule ivi lini tutajadili sera zetu na jinsi ya kujikuamua apa tulipo Ili tusonge mbele always kujadili watu poor you
 
Swala la bureau-de-changes, msingi wa Magufuli kuingilia ilikuwa high demand ya dollar kutoka bank kuu.

High demand ya dollar inasababisha kupanda thamani yake. Kuna madhara ya kiuchumi kwenye importation inayosababisha miradi ya serikali kuwa juu kwa bidhaa zinazoagizwa. Kuna madhara kwenye kuhudumia deni la taifa kwa sababu ya high exchange rate.

Iwapo sababu zenyewe za kupanda kwa dollar ni uchumi wa ndani na wanunuzi wakubwa walikuwa bureau de change ndipo Magufuli alipoingilia kuzuia huu mchezo. Kuna watu walikuwa wakitumia hizi bureau de change kutakatisha hela.

Mtu kauza uchafu wake mtaani anaenda bureau de change ana nunua dollars na kuziacha kama mtaji huko. Au wengine wanafungua bureau de changes zao kabisa kwa shughuli ya kutakatisha hela kwa sababu ya vigezo rahisi vya kufungua hiyo biashara.

Kwakuwa biashara zote zina vitabu na hela inaweza kuwa traced from banks. Ndio maana bureau de change nyingi zilichunguzwa. Zile ambazo zilikuwa hesabu zao zipo sawa ziliachwa; wale waliochukuliwa hela walikutwa na reserves ambazo hawawezi elezea hiyo capital imetokea wapi.

Walioshindwa kutoa maelezo ndio Magufuli alizichukua na hazikwenda hazina kama za serikali bali zilikamatwa tu ukiweza toa maelezo unarudishiwa, ambao awakutokea ni kwasababu zilikuwa hela za kutakatishwa na ndio walikuwa hawana majibu na walikuwa wakiharibu uchumi kwa kununua dollar bila ya mpango na kufanya ipande.

Ni hivi huyo mama uwezo wake tushaona, mengine kwenda mbele ni kujitakia kama tumekubali namna nchi anavyoingoza, basi watu wawe tayari na kuishi na consequences za uongozi wake. Including kusikiliza hadithi za mijitu ya ovyo ovyo kama Nape.
 
Uzushi mtupu. Hebu taja kila sehemu uoneshi undugu na ukabila ya kisukuma ili tuone huo upendeleo... kama hujaabika tu.
 
Sasa kwanini usikitike ndugu, yaani wewe lile kichwa Box ndio likusikitishe sababu ya upuuzi limebebelea kwenye kichwa debe lake. Achana nalo. Debe tupu huwa haliachi kutika.
 
Kichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.

Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .

Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Na ndio majitu yaliyojazana humo serikalini majitu ya vyeti bandia na kuunga unga. Intelligence ni zero.
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Mtahangaika Sana, tunachoshukuru Kwa sasa ni Yule Subiani kutwaliwa na kupelekwa Kuzimu
 
Kichwa Cha SSH uelewa wake, unaendana na Vichwa vya akina Nape.

Huu ndio ukweli, hata yeye kama anabisha, aweke Vyeti vyake vya Elimu .

Yaan Intelligence Quotient ya Kila mmoja wao ,unaweza hisi ni mapacha .
Kama Jiwe na Makonda na Sabaya na akina Le Mutuz
 
Huyo na yule mwenzake mwezi wa pili ndio vinara wa uharibifu nchi hii.

Wakiwa wanakula hutasikia kelele popote ila wakiwa benchi tu utasikia kelele kila Kona kuwa nchi haitawaliki.
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Ulitaka uendelee kutamba wewe acha roho mbaya ya kishetani.
 
Na ndio majitu yaliyojazana humo serikalini majitu ya vyeti bandia na kuunga unga. Intelligence ni zero.
Sahiz ndo yanajazana yaan hao ni wale waswahili, vichwa vyao Huwa vimejaa ujuajiiiiii ila kichwan ni sifuri kabisa .

Nape Elimu ya bongo ilimshinda mpaka akaenda Kusoma nje Kwa sababu huko alikoenda Kusoma, wanakupa degree hata kama wee ni kilaza .

Yaan ni kama Masters Degree ya MWANA-FA, vitu vya Online tu .

Ila sahizi ni ndio Waziri 🤣🤣🤣
 
Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano.
Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, toaasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali kukopa fedha zake yenyewe kwa hati fungani zinazonunuliwa na fedha yake yenyewe na mabenki unaweza kuendelea. Eti mama kamruhusu lema kurudi na kumfutia kesi. Kesi zenyewe hazitaji na mama kuingilia mahakama kufuta kesi je sawa?
Dah hakika magufuli alikua sahihi kuwatema hawa walamba asali sema delilah huyu mama msaliti kawakusanya wanatamba tena wamejaa kiburi.
Ungeona ile clip ya video nape akitokea mtaani anahema na kutokwa jasho kwenda ikulu kuomba msamaha kwa magufuli halafu hivi leo anatamba kwamba serikali ya mama inareverse hatua muhimu alizochukua jpm kuhusu uchumi utajua sasa nchi iko kwenye mikono ya walafi na wabinafsi wakubwa. Wataweza kuvunja hata ukuta wa mererani ili watu wao wezi wa madini yetu kenya waweze kuendelea kutuibia kwa uzuri.
Kwani Sasa hivi Kuna Serikali?
 
Back
Top Bottom