Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Sasa msomi tuliwezaje kuingia uchumi was Kati ikiwa jpm hatua alizochukuwa Ni hzo hzo

Kumuelewa magu unatakiwa uwe clean Sana vinginevyo utamchukia tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wamefumua wamezika katika uchumi wetu alioacha shujaaa halafu leo ,anaibuka kujitaka kwao tunakuelewa ni moja ya timu ya walamba asali ,hawafikirii kuhusu wanyonge
 
Wee Nape na Uchumi wapi na wapi??.

Bichwa like Kubwa, hata uliambie , Nape, tupe walau MBINU Moja ya kukuza Uchumi wetu.

Haaaa hanaaa hanaaaaaa hanaaaaaaaaaa
Pole mjane. Kuimba siku zote ni kwa kupokezana.

Mliimba kwa wakati wenu sasa ni zamu ya wengine kuimba huku nyie mkiwa waitikiaji.

Hasira na chuki zako binafsi kwa utawala huu hazitobadili chochote.

Nchi imekuwa na utulivu wa kweli sio ule utulivu wa kulazimisha. Watu wana furaha ya kuendelea kupambana kwasababu hakuna hofu ya vitisho tena.
 
Upande wa kesi za Lema ni saw maana ni mmoja wa wanasiasa waliobambikiwa kesi!!
Kama ni za kubambika ziko mahakamani. Angeacha mahakama iamue. Kajionyesha anaingilia mahakama kuachia watu wenye kesi. Kwa hivyo anaendelea kumkamata sabaya akishinikiza ahukumiwe bila kosa. Angemuachia kijana sabaya badala ya kuachia watu wenye kesi mahakamani kinyume cha sheria.
 
Wenye nacho wakifurahi huku umma unalia ndio unaona kuna utulivu? Utulivu wa bwanyenye?
Kwanza nchi haijatulia. Umma wanalia kwa bei kubwa ya bidhaa. Mama kaonesha yeye utawala wake ni kuwalinda wafanyabiashara na mabepari. Kawakemea raia watulie kwani bei lazima zipande. Kawapa cheti wafanya biashara kupandisha bei.
Mafuta yako juu sana kutokana na kina januari kampuni zao kupandisha bei bila uwiano. Mama hataki kusikia bei kikomo. Kakaza shingo kujifanya anajua kuliko genious magufuli. Jk juzijuzi hapa anamtetea eti afanye nini wakati ni hali ya dunia eti ni vita ya ukraine.
Wakati viongozi wenye nia nzuri wanayatafuta mafuta ya bei rahisi ya warusi wananunua. Waulize india, waulize china na nchi nyingi za asia watakuonesha mafuta ya bei rahisi.
Huko ulaya na marekana wametuonesha jinsi makampuni ya mafuta yanapata faida kupindukia kwa kisingizio cha vita ya ukraine na wakawatoza kodi maalum ya ziada. Huku kina makamba wanatuimbisha wimbo wa ukraine huku wanatengeneza mabilioni kwenye makampuni yao wakiumiza vibaya umma wa wananchi.
 
Issue ya sabaya achana nayo inafany uonekane mjinga! Sabaya uhalifu wake uko waz clips nying zilionyesha akivamia maduka na hotel ya aishi. Pia alikiri mwenyew kua yeye alitumwa tu!! Issue ya Rais kumuachia mtu ni sababu ya katiba yetu imempa mamlaka Rais, hata awamu iliyopita Rais ndo alikua anaamua nan awe gerezani nan atolewe!! Weka hoja zenye mashiko biashara ya sabaya achana nayo
 
Mkuu

Huyu jamaa amevaa koti la uchawa, kwaiyo JPM akuwahi wala ajawahi kufanya mema kwa mtazamo wake..
 
Samia ameleta nini badala ya kurudisha ujanjaujanja kuzungusha hela za umma mitaani kwa upigaji. Wajanja kupata kipato bila kutoa thamani kwenye uchumi.
Hebu ona. Anarudisha bureau de change ambazo kwa wingi zilikua hazifuati utaratibu, hazipeleki hela za kigeni benki kuu na zinapanga thamani ya shilingi chini kuidhulumu nchi. Pia wanapanga kuwarudishia wale jpm kawanyang'anya mashirika, viwanda au taasi za umma kwa kujibinafsishia bila kulipa chochote au bila kuendeleza.
 
Huwezi kujua kitu, ametesa watu wengi sana na familia zimeumia sana tunaushahidi usuo na shaka.
Mbona hawajitokezi. Tuliona kesi za sabaya malalamiko kuteswa watu na sabaya. Wamepewa chance kujitokeza ili sabaya aunganishiwe mashtaka. Hakuna watu wamejitokeza. Mtu akitumbuliwa au kubanwa au kutemeshwa maslahi ya kipigaji lazima azue maneno na kuweka chuki.
 
Ndio nape anatamba eti mama karufisha hali ya chief executives taasisi za umma kuzungusha hela za umma kwenye mabenki kwa manufaa binafsi.
 
Magufuli Elimu yake yakuungaunga tu, acheni unafiki wenu.
Wala hujui elimu ya kuungaunga ikoje. Ungemtaja nape kuungaunga ningekuelewa. Magufuli ni genious. Ni wale wenye akili sana.
 
UNACHOSEMA UPO SAHIHI KWANI NCHI GANI ULAYA UNAWEZA KUBADILISHA FEDHA UKAPEWA HRD CURRENCY BILA YA KUTOA PASSPORT KW AJILI YA RECORD? TANZANIA ULIKUWA UNABADILI DOLA AU EURO BILA HATA YA KITAMBULISHO. WENYE KUJUA UCHUMI WANAFAHAMU MCHEZO WA WENYE BUREAU DE CHANGE WLICHOFANYA MPAKA TANZANIA IKAISHIWA FEDHA ZA KIGENI. KUZIFUMGIA ILIKUWA NI LAZIMA KWA MUSTAKABALI WA NCHI ILA KWA MAFISADI JPM ALIKOSEA
 
Acha undezi wewe, nimeenda Istanbul ukinunua kitu chochote hata dukani kwa mangi unaulizwa currency unayolipia bila kuulizwa pasport na unapata chenji kwa currency yoyote kati ya pesa Yao, USD, euro na UK pound na kila mfanyabiashara Yuko sensitive na daily exchange rates! Usituletee facts za kishamba zenye uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…