Mkuu,Hayaja kukuta hivyo usiongee hivi boss wangu
Mkuu Sasa wewe yakikukuta utafanyaje,? Utajiua, utamuua mbaya wako au utamuua mpendwa wako?Hayaja kukuta hivyo usiongee hivi boss wangu
Mkuu usichukulie Sana serious Sana k ambayo haipo kwako.Hayaja kukuta hivyo usiongee hivi boss wangu
Naomba isinikute ninavyompenda mama A naomba inikute nikiwa nimekufa maana nipo na wivu sana boss wangu DigbaMkuu Sasa wewe yakikukuta utafanyaje,? Utajiua,Utamuua mbaya wako au utamuua mpendwa wako?
Utaweza kupambana na mtu mzima mwenye utashi binafsi?
Poa bro.....Wewe jamaa na utani wako kama kawaida salama lakni mzee mwenzangu
Mkuu jiandae kwa lolote na huo ndo uanaume, wanawake hakika hawaaminiki, binafsi sijali hata Kama itatokea hivyo, what I care is my life and that of who are depending on me!!!Naomba isinikute ninavyompenda mama A naomba inikute nikiwa nimekufa maana nipo na wivu sana boss wangu Digba
Ndio maana naomba Mungu nisije oa mwanamke anaefanya kazi ofisini.- Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli.
- Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini.
- Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao.
- Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
Kwa nilichokifanya kwenye house party kwa supervisor wangu wa kike nikifikiria na ya huyu mke wa jirani.... naomba niongozwe Sala ya Toba..... kabla ya mama yoyoo (niliyekuta sms ya mchepuko wake kitambo hicho,... tukayamaliza) hajanistukia!Ndio maana naomba Mungu nisije oa mwanamke anaefanya kazi ofisini.
Kwa kweli ninachoonaga nazidi kukata tamaa ya kuoa