Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

Kwani inaacha alama?

Halafu mngejua hao wanawake wanaoshinda nyumbani wanavyogongwa gongwa hovyo....walahi mngewaswaga wake zenu wote waende ofisini
 
Umevimbiwa "mabanzi" ya Makanyagio weye!😂😂😂😂
 
Jamani,kuna nn tena...Leo umekuwa mpole sana mkuu
 
Kikao kilichokaa baada ya valentine hakijafua dafu

Tumekaa tena siku ya wanawake duniani kujadili Hawa viumbe

Mi nahisi Kuna watu huwa wanavujisha Siri za kambi
 
Anatumia papuchi yake mwenyewe wewe unaumia.

Acha utoto
 
Cha muhimu hakikisha watoto ulionao ni wako hayo mengine achana nayo
 
Hao vijana wa sahiv na wewe mnatofauti gani?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…