Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

Lakini huyu mkuu hakutumia kiuno ni haya mambo yake ya kuandika andika tu
mf wa andiko hili kabla ya september 7 Nrne awe ameachiliwa bila masharti ya aina yoyote au lile andiko lake kuwa Nrne asiongee chochote wala sisi tusiende tena huko kwenye kisutu tuwaachie wao kisutu wafanye wanavyotaka juu yake.
Na akaletewa mapazia ya laki sita kurekebisha kwa ajili ya apatment za marehemu Dory kigamboni na mbweni haya ndio sababu ya yeye kupewa shamba la hekari 20
 
Pamoja na hayo lakini haiondoi ukweli kwamba Siku hizi hawa Vijana wakiume wana wawinda wake zetu huku wakitumia turufu ya vumbi la Kongo katika kuwakamata wake zetu

Mimi ili nife Kwa amani, lazima Bibi yao nimfanyie tego

Kijana yeyote atakayejifanya rijali lazima naye anifate 😜
 
Mi nasemaje na wao watazeeka tu mbaya zaidi kwa vumbi hili wanalojikutanalo wajanja baadae ni majuto tu watastaafu kuchakata mapema mno
 
Mi nasemaje na wao watazeeka tu mbaya zaidi kwa vumbi hili wanalojikutanalo wajanja baadae ni majuto tu watastaafu kuchakata mapema mno
Afadhali umenipa moyo Mkuu, hao Vijana hawafai

Wakipata Mshangazi mwenye hela huwa wako ladhi waende Kongo wakabebe vumbi mradi wamteke ili kuzawadiwa mali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babu huu mchezo hauhitaji Hasira.
Tena unakuta Mjane wa Nikifa MkeWangu Asiolewe anavyojibebisha na kujiliza kimadeko mwenyewe utadhani wewe ni Babaake wakati amekuzidi umri
Hiyo kauli ndiyo inafanya nimpigie simu mtaalamu wangu wa Nigeria ili akamilishe lile tego

Siwezi kuwaamini nyie Vijana Kwa Bibi yenu πŸ€—
 
Hapana,hapana mzee wangu sitaki kuwa muuaji!!
Endelea tu Kula Pensheni na Bibi yetu mzuri!!!
Kweli Mjukuu unajali maisha ya Babu yako

Umri huu ndiyo maana tunatumia kufanya ibada tu πŸ™
 
Kunywa maji lala babu, roho isije acha mwili ukawaacha vijana wafaidi
Umenishauri sahihi Mjukuu , naomba nisogezee dawa zangu za Presha, zipo kwenye stuli hapo sebuleni

Otherwise naweza kuaga pambano huku Vijana wakijibebea Bibi yenu
 
Hapo msibani cheki cheki tu mshangazi mwingine atakaendeleza Aunt Dory alipoishia.

Halafu Poor Brain nae alikua na mshangazi unaitwa Dory, usikute huu msiba ni wenu wote.
Ni dorry na yeye au
Mungu wangu weeeh sema dorry wangu mm ni mchega kwa sasa yupo kwao bado mzima.

Kwa sasa nimebadili natoka na mama mmmoja safi sana

Sema ana wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…