NCHI YANGU TZ
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 663
- 233
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.
Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.
Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.
Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Pasco.

Hili swali nimemuuliza uzi mwingine, hakuwahi kulijibu.
- Na kwa kuongezea, wapi AG Werema amepata uwezo wa kuwa mshauri wa kodi?
- Tatu, ina maana pasco haamini CAG ?
- Sasa kama PAC wamefanya uhuni, uhuni huo si wameutoa katika taarifa ya CAG
- Nne, pesa za binafsi zinatumikaje kwa viongozi wa umma, hadi hapo haoni tatizo
- Tano, taarifa imeeleza mitambo ya low speed ndiyo ilihitajika, walileta isiyo katika kiwango hicho, hilo pasco hahisi =kuna tatizo kweli
- Sita, kama ni pesa za binafasi, CAG, waziri, katibu mkuu wizara wanaingiliaje masuala binafsi?
- Saba, jitihada za serikali kuzuia mjadala zililenga nini iwapo ilikuwa ni pesa binafasi.
kaka umemaliza kabisa!
Hayo ndiyo maswali niliyomuuliza hapo juu post 3, pasco nini maana ya fedha za umma, ndio maana nimemuuliza tanesco wanatengeneza pesa???
nchii hii tutaendelea kuwa maskini mpaka siku ya mwisho;
PASCO UMENISIKITISHA SANAAAA..
mimi naomba kuuliza kama ni ya umma kwa nini ilienda escrow? si ingekaa huko huko tanesco? What was the money doing in the escrow account in the first place?
[/LIST]
Mkuu Nguruvi 3, nimefarijika sana kwa wewe na Mkuu Mchambuzi kuutembelea uzi huu, kwa sababu nyinyi ni miongoni mwa ma GT wa ukweli humu jukwaani!.Naomba unikumbushe huo uzi!.
NB. Hayo majina mliyoyaoni ni majina ya kampuni binafsi ya JR, hamjaweza kuona account yake Holland amewalipa nani, hamjaweza kuona accont za PAP nani waliolipwa!.
- Japo sijabahatika kuuona mkataba wa IPTL ili nikichukulia mkataba wa Richmond kama sample, Tanesco ndio iko responsible kulipa all taxes!. AG ndie anaujua mkataba, hivyo alishauri hayo kutokana na mkataba!. Tax pekee ambayo sio jukumu la Tanesco ni ile ya transfer ambayo ilipaswa kulipwa na PAP kwa fedha za Singa Singa!.
- Soma Ripoti ya CAG uone amesema nini kuhusu fedha za escrow!, hakusema ni fedha za umma!, amesema sehemu inaweza kuwa ni fedha za umma!, imetokea kuwa Tanesco inadaiwa deni kubwa kuliko fedha zote zilizokuwemo ndani ya escrow, na aliyekubali fedha zilipwe ni Tanesco na kakiri anadaiwa na ameweka repayment schedule!.
- Uhuni huo ndicho kitu kilichonisikitisha, kunihuzunisha na kunifadhaisha!.
- Baadhi ya hizo pesa ni kweli ni kick back, baadhi ni genuine charity na nyingine ni sadaka na sadakalawe!.
- Mechmar ni matapeli!, Tanesco ilitapeliwa mchana kweupe!, ingekuwa na wanasheria wazalendo, kosa hili lilitosha kabisa kuvunja mkataba na kutaifisha kila kitu!.
- CAG na PCCB wameombwa na PAC na PM, Role ya BOT, Waziri na KM ilikuwa wakati zikiwa ndani ya escrow kabla hazichange hands!. zimechange hands zilipokubaliwa kutolewa!.
- Kutombunguzi Msamaria Mwema JR alivyotumia fedha zake!.
Tangu issue ya Chenge, nilisema humu PCCB ni nothing!, kila mtu mwenye akili timamu anajua mgao ule ni mgao wa asante!. Nilitegemea taarifa ya PAC pia itazungumzia chanzo cha IPTL na ni nani aliyetuletea hili jinamizi za IPTL!, escrow ni matokeo tuu, tunashangilia watu ku deal na matokeo tuu badala ya kung'oa mizizi!.
Pasco.
Mkuu Mwandwanga, you are very right kuwa, pesa za Escrow sio pesa za umma, (wa Watanzania), bali ni pesa za Watanzania, JR ni Mtanzania!.Pesa siyo za Umma ni pesa za Watanzania.