Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #141
Mkuu Nguruvi 3,Na sio hao tu, mshauri mkuu wa Rais kisheria (AG)amehusika sana.
Mtendaji mkuu katika wizara (katibu mkuu)ambaye ni mteule wa Rais ameshiriki.
Masaidizi mkuu wa Rais katika wizara anayeingia baraza la mawaziri(waziri) ameshiriki
Waziri wa fedha ameidhinisha malipo ya 'pesa binafsi''
CAG ameshirki kuchunguza pesa za 'watu binafsi''
Mkurugenzi PCCB ameshiriki uchunguzi wa pesa' binafsi''
Waziri mkuu ameelekeza uchunguzi ufanywe kwa ''pesa binafsi''
Mwanasheria mkuu alimkosa Kafulila kwa ngumi akitetea 'pesa binafsi''
Wote hao wanashiriki vipi kwa pesa za watu binafsi?
Watu humu na wananchi kwa jumla, wameaminishwa kuwa fedha za escrow ni fedha za umma tena zimeibwa kama kwenye EPA, hivyo ni fedha chafu hivyo zimepitishiwa Stanbic na Mkombozi ili zitakatishwe!, hivyo sasa wana hasira sana baada ya kutajiwa hiyo mijizi yao, wanasubiri with great expectations mijizi yao isulubiwe, leo nilikuwa nasiliza interactive program moja ya live, kuna watu wanasema hawa jamaa wanyongwe without trio, ule ushahidi wa majina kwenye account unatosha!, jinsi ninavyoshambuliwa humu ni ushahidi wa jinsi watu walivyo na hasira, zilizo pelekea hata thinking yao kuwa ipaired!, watu wanasubiri amri tuu ya piga ua!, ila kwangu mimi inapotokea hawa ma great great thinkers wetu humu kama Nguruvi 3 na Mchambuzi, they cease to think, then kiukweli Tanzania sasa tunaeleke kusiko!, mfano leo wakati wa majumuisho, serikali ikizipangua hoja zote moja baada ya nyingine na ikikutikana escrow sio fedha za umma!, kisha mbunge mmoja kama Kesi akalianzisha kuelekea usawa wa spika, hata askari wote wa bunge hawataweza kuzuia
Where is Nguruvi3 and Mchambuzi the thinkers?!.
Pasco