Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje atoe ufafanuzi wa kutoshapaschal mayala njoo urudie ulichoandika
sent from space station
Pascal buana, unafukua makaburi. Pesa ni za umma au za wafanya biashara?Hata baada ya Mhe. Ngeleja kurejesha mgao wake wa escrow, kwa kuzilipa fedha hizo serikalini kuashiria amejiridhisha escrow ni fedha za umma, mimi bado nashikilia msimamo huu, kuwa fedha za escrow sio fedha za umma mpaka pale mahakama itakapota tamka otherwise.
Paskali
Pesa ni ya umma au sio ya umma?Nasubiri Siku ya kuhitimisha
Namuita Dr Pascal MayallaTujikumbushe Pascal Mayalla
Andiishi lako linafikirisha sana, hasa hayo majibu kwa Profesa Kitila...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufafanuzi gani wakati kule mwanzo tumesema kila kitu!.Aje atoe ufafanuzi wa kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naifuatilia kwa keen interest hii issue ya Mzee JR.
Kaka Vipi bado pesa ni za umma tuNaifuatilia kwa keen interest hii issue ya Mzee JR.
P
Pesa sio za umma, Rugemalila anaonewa tuu!.Kaka Vipi bado pesa ni za umma tu
Wanabodi,
Kwenye issue hii ya fedha za Escrow kama ni za umma au la, the authority ni ofisi ya GAG na Ripoti ya CAG ndio wakweli, Fedha za Escrow sio fedha za umma!.
Paskali
Mkuu Capt Tamar ,Naendelezea hapahapa~~chochote chenye public interest kina mawazo na maamuzi yanayotoka kwa watu kwa ajili ya watu,mwenyekiti wa ccm ndiye anejigeuza kuwa mwenyekiti wa Tanzania,yeye ndiye anayeamua nini kiwe for public interest na kipi kisiwe,alipomtimua mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali baada ya mkaguzi huyo kusimamia public interest wewe Pascal Mayalla hukumgombeza magufuli au kumkumbusha kuwa pesa iliyopotea ni ya umma,na mkaguzi ndiye jicho la umma,unamshangilia mwizi halafu unaongea habari za public interest,fool
Pascally ndugu yangu huoni kama haya maneno yako ungeyasema kipindi mzee huyo JR anakamatwa hadi anapelekwa huko rupango yangekuwa na sauti?
Wanabodi,
Inawezekana PAP ni matapeli, na amenunua IPTL kitapeli, hivyo IPTL chini ya PAP ni kampuni ya kitapeli, Singasinga amefanya utapeli kuinunua IPTL kitapeli, toka kwa wamiliki halali, that is pure business hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme ambao sio umeme hewa, bali ni umeme kweli unaokuwa generated na mitambo ya IPTL, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!. Kwa lugha rahisi, hata baada ya PAP kulipwa fedha zote zilizoko ndani ya escrow account, bado Tanesco inadaiwa!.
Paskali
Hiki nilichokisema humu, kimekuja kutokea kwa Mzee JR kukamatwa na kushitakiwa. Kiukweli kabisa, huyu Mzee ameshitakiwa kwa kuonewa bure, hana kosa lolote, baada ya Habinder Sing Sethi kukiri na kuachiwa huru, kinachofuatia ni Mzee JR kufutiwa kesi na kuachiwa huru bila masharti yoyote.Wanabodi,
Naomba kwa hapa tuwe wakweli, huyu Mzee JR akamatwe kwa kosa gani?. Aliyechota fedha za escrow ni kalasinga wa PAP, fedha za Escrow zimelipwa PAP, yeye amefanya biashara halali kabisa ya kuuza hisa zake halali ndani ya VIP kwa kumuuzia PAP, na amelipwa na PAP malipo halali kwa hisa zake, na baada ya kupokea malipo, amelipa kodi zote stahiki na halali za serikali, pesa zilizobaki ndizo amezifanyia wema kuzigawa kama sadaka au asante kwa wale aliowachagua, sasa kosa lake ni lipi?!, na waliopokea sadaka ya wema ule wana kosa gani?!. Hakuna kosa lolote kwa mtu yoyote kugawa fedha zake mwenyewe kwa yeyote, na hakuna kosa lolote kwa mtu kupokea fedha zozote halali toka kwa yeyote.
Paskali.