MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila kujua kwamba wazee kama hao ndo wapiga kura muhimu.
Natumaini uongozi wa CHADEMA utakemea huu ujinga uliofanywa na hawa vijana. Ikumbukwe vibarua wengi kwenye miradi mbalimbali ni vijana ambao wengi wao huipenda CHADEMA na hata kuvaa sare zao. Lakini huwa ni ngumu sana kuona wakitendewa vitendo vya hovyo kama alivyofanya Chacha.
CHADEMA kama chama cha kudumu cha upinzani lazima mhakikishe mnatuonyesha kwa vitendo mambo ambayo mmekuwa mkihubiri kwa muda mrefu. Mmekuwa mkipinga ubaguzi ila kupitia hii video mtajikana?