Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

utakufa ukiwa na umri mdogo wewe. vitu vingine unapotezea tu
wewe vitu vingapi unapotezea..mtu anakuja kazini anababaisha kazi kumbe akili muda mwingi inawaza ngono, akiondolewa kazini kwa underperfomance analia njaa, halafu wewe unasema upotezee..lini familia zenu zitaondokana na umaskini, kama kila kitu unasema potezea..
 
Usipangie watu maisha wewe! Wewe na userious wako umefika wapi?
Haaaaaa
Believe me all people may like sex, though is not a hobby;
But in my experience, (this is proven); Sex is hobby for Tanzanians -----!!!

unaBishaaaa? Na ndiyo maana masikini, wanatumia 90% ya muda kwa hilo
 
kama si wewe achana nayo....fight your own war. kwa nini unajaribu kupigana vita ya wengine isiyo yako. Kuumia unakodhihirisha kuumia ndiko kutakuondoa duniani mapema. Acha moyo wako usukume damu bila shinikizo.
 
Mbongo anawaza k aka ngono muda wote
Dp world ndomana anatukomeshaaa
Dp world nikomesheeeee hawa

Ova
 
WANAWAKE WA TANZANIA NI WAREMBO KULIKO HAO WANAOSHOBOKEWA WALIOTOKA SUDAN

Anaandika, Robert Heriel
Asali ya Warembo

Unajua huu umaskini huu na ushamba WA kuyajulia mapenzi ukubwani huwezi kumfanya mtu kuwa limbukeni hasa limbukeni WA mapenzi.

Mabinti wa Kitanzania ni wazuri zaidi kuliko hao mabinti Kutoka Sudan. Tatizo kubwa ni umaskini, kutokutunzwa, Maisha Duni, ukosefu wa Elimu na Maisha standard ndio imewafanya Dada zetu waonekane wamefubaa. Pia kutojiamini na Akili mgando ndio zimezorotesha Dada zetu.

Ni aibu na fedheha kubwa Kwa Wanaume hasa wanaume wenye Akili kubwa na wanaume halisi kusifia Wanawake WA jamii nyingine na kuacha kusifia Wanawake wao. Hilo utalipata Kwa jamii jinga, isiyothamini Wanawake zao, Binti zao, Wake zao, na Mama zao.
Huwezi kusikia hata siku moja taifa lenye Watu wenye Akili likifanya Makosa kama hayo.

Kuna mtu atasema ni utani. Hakunaga utani wa Aina hiyo Kwa Watu wenye AKILI.
Ni utani wa Watu wajinga hivi wasioelewa kile wakisemacho.

Uzuri ni Mali ya Wanawake zetu, Watanzania. Wanawake zlwetu ni wazuri. Ila baadhi ya wanaume ni majinga yasiyojua thamani ya Wanawake zao.
Sio ajabu wapo wanaume wanaoa Wake zao lakini wanashindwa kuwatunza vizuri ili waonekane wazuri. Matokeo yake wanalisha michepuko. Ujinga mtupu!

Narudia, ni Mwanaume mjinga pekee ambaye atasifia Wanawake WA jamii nyingine na kuacha jamii yake.
Yaani mnapagawa na Wanawake WA nchi zingine utadhani hapa nchini hamna Wanawake?
Tena wengine ni Watu wenye majina makubwa lakini Akili sifuri. Hawajui hata maana ya mambo hayo.

Wanawake zetu ni Wazuri, warembo, na watamu. Uzuri ni Haki Yao. Upendo ni Haki Yao. Kutunzwa ni Haki Yao.

Hivi Wanawake zetu wakienda nchi za wenzetu watashobokewa kama ninyi mlivyoshoboka kindezindezi?
Ushamba tuu!
Rangi nyeupe inawafanya muwe wajinga na mbumbumbu? Hamjawahi kulala na hao rangi nyeupe nini!
Sisi wengine angalau tumepita pita huku na huko. Ndio maana tunajua Wanawake wetu ni Wazuri kuliko hao. Hatuongei Kwa kuvutia kwetu au kuwapendelea. Tunajua nini tunakisema. Mbali na upendo tulionao Kwa Wanawake wetu lakini pia hakuna wakubadilisha ukweli huu kuwa Wanawake wetu ni Wazuri na watamu kiuhalisia.
Kama mnabisha kaonjeni wenyewe alafu mje hapa Taikon nawasubiri.

Pendeni wake zenu
Pendeni Binti zenu
Pendeni Mama zenu
Pendeni Wanawake wenu.
Hilo ndilo jukumu la mwanaume yeyote angali anaishi. Sio kupuyanga puyanga.

Nipumzike SASA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
kama si wewe achana nayo....fight your own war. kwa nini unajaribu kupigana vita ya wengine isiyo yako. Kuumia unakodhihirisha kuumia ndiko kutakuondoa duniani mapema. Acha moyo wako usukume damu bila shinikizo.
kuondoka kwangu duniani mapema wewe inakuhusu nini..? na wewe unapigana vita ya nani?
 
Cp Maggid mjengwa
 
Kenya Gani hiyo ile inayoongoza na royal family,

Uganda gani ile ambayo haina misingi ya kidemokrasia,Vikundi vya waasi lila sehemu,Uchumi gani Uganda anatutishia nao,

Rwanda ipi hiyo,Hiyo ambayo raia wake hawezi kukosoa chochote serikalini kwao,Si ndo hao wamepeleka mabilion ya fedha kwa arsenal kutangaza sokwe,Hawana unufaika mkubwa kiivyo,

Acheni propaganda zisizo za msingi
 
Utawalaumu sana Watanzania, lakini ukweli ni kwamba dunia imetukuza sana starehe, burudani, na ngono kupita kiasi -- actually, the right word ni kwamba ulimwengu unayaabudu kabisa mambo haya.

Sasa na idadi kubwa isivyokuwa na elimu na kazi ya kufanya, then unganisha na akili ambayo haina lingine bora la kufikiria, lazima chimbo la ujinga liwe sehemu pekee pa kupata faraja na ^kusukuma tu siku ziende,^ kama wenyewe wasemavyo. Shame!

Na ndicho watawala wengi wanapendacho! Haiwezekani kamwe kulikomboa taifa kama asilimia kubwa ya vijana wake wamewekeza potentials zao kwenye starehe na mapenzi (Che Guevara).
 

Ungeambatanisha na picha kadhaa mkuu kuhusu hao wanafunzi wa Sudani ili hata sisi tulioko huku Mpanda tuweze kuona na kuweka neno
 
Hilo ndio watanzania tunaliweza,hakuna kingine, lingine ni kulalama baada ya muda tunasahau
The tallest acha mambo yakisenge. Rudisha avatar picha Yako tuliyokuzoea ya picha ya Bob Marley na simba

Sauh'waah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…