Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

Wakuu,

Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.

Nasema nimegadhabishwa kwa sababu mtizamo wa watanzania wengi umejikita kwenye utani wa kuwadhalilisha wanawake na kutweza uanaume kwa malengo yasiyofahamika.

Wachangiaji wengi wameonyesha kuwa vijana wengi wa Kitanzania hawana maadili na mawazo yao yamejikita zaidi kwenye masuala ya kingono kwa wanafunzi hao wa Ssudan na wameendelea mbele zaidi kuonesha kuwa wanaume wengi wa Tanzania fikra zao ni ngono tu na hawana jambo lingine wanalofikiria.

Nimestushwa hasa nilipoona kwenye baadhi ya magroup ya WhatsApp, redio, magazeti niliyodhani wana weledi wa kutosha kuhusu masuala ya kijamii kuangukia kwenye hoja kama hii, tena wengine ni wasomi wanaojinasibu kuwa wameelimika.

Tabia hii ya hovyo iliyooneshwa na wanajamii wenzetu inatuzalilisha kwa kiasi kikubwa na kutweza utu wetu sisi kama Watanzania, hasa nikirejea sakata lililotokea mwaka baada ya Klabu ya Simba kumsajili Mchezaji mmoja kutoka barani Ulaya ambapo waandishi wetu walijikuta wakifanya masihara kwa kumuita mzungu yaliyopelekea kuleta hisia za kibaguzi kwa mwana soka yule nguli kiasi cha kuamua kukatisha mkataba wake na kuondoka.
Kwanza kajifunze kuandika kiswahili fasaha kisha uje utufuate.

Pili punguza makasiriko unafupisha maisha kwa presha
 
Usione ajabu sana maana binadamu tunatofautiana sana kiakili ! Zipo simple minds zipo ordinary minds na zipo Great minds !! Hiyo isikuumize ni kawaida sana !
 
atakayemchukua hata mmoja atuambie kama kuna antena ya king'amuzi. tena hao huwa wanafyeka vibaya hadi panabaki tu peusiii na kishimo kilee, ule wekundu haupo.
 
WANAWAKE WA TANZANIA NI WAREMBO KULIKO HAO WANAOSHOBOKEWA WALIOTOKA SUDAN

Anaandika, Robert Heriel
Asali ya Warembo

Unajua huu umaskini huu na ushamba WA kuyajulia mapenzi ukubwani huwezi kumfanya mtu kuwa limbukeni hasa limbukeni WA mapenzi.

Mabinti wa Kitanzania ni wazuri zaidi kuliko hao mabinti Kutoka Sudan. Tatizo kubwa ni umaskini, kutokutunzwa, Maisha Duni, ukosefu wa Elimu na Maisha standard ndio imewafanya Dada zetu waonekane wamefubaa. Pia kutojiamini na Akili mgando ndio zimezorotesha Dada zetu.

Ni aibu na fedheha kubwa Kwa Wanaume hasa wanaume wenye Akili kubwa na wanaume halisi kusifia Wanawake WA jamii nyingine na kuacha kusifia Wanawake wao. Hilo utalipata Kwa jamii jinga, isiyothamini Wanawake zao, Binti zao, Wake zao, na Mama zao.
Huwezi kusikia hata siku moja taifa lenye Watu wenye Akili likifanya Makosa kama hayo.

Kuna mtu atasema ni utani. Hakunaga utani wa Aina hiyo Kwa Watu wenye AKILI.
Ni utani wa Watu wajinga hivi wasioelewa kile wakisemacho.

Uzuri ni Mali ya Wanawake zetu, Watanzania. Wanawake zlwetu ni wazuri. Ila baadhi ya wanaume ni majinga yasiyojua thamani ya Wanawake zao.
Sio ajabu wapo wanaume wanaoa Wake zao lakini wanashindwa kuwatunza vizuri ili waonekane wazuri. Matokeo yake wanalisha michepuko. Ujinga mtupu!

Narudia, ni Mwanaume mjinga pekee ambaye atasifia Wanawake WA jamii nyingine na kuacha jamii yake.
Yaani mnapagawa na Wanawake WA nchi zingine utadhani hapa nchini hamna Wanawake?
Tena wengine ni Watu wenye majina makubwa lakini Akili sifuri. Hawajui hata maana ya mambo hayo.

Wanawake zetu ni Wazuri, warembo, na watamu. Uzuri ni Haki Yao. Upendo ni Haki Yao. Kutunzwa ni Haki Yao.

Hivi Wanawake zetu wakienda nchi za wenzetu watashobokewa kama ninyi mlivyoshoboka kindezindezi?
Ushamba tuu!
Rangi nyeupe inawafanya muwe wajinga na mbumbumbu? Hamjawahi kulala na hao rangi nyeupe nini!
Sisi wengine angalau tumepita pita huku na huko. Ndio maana tunajua Wanawake wetu ni Wazuri kuliko hao. Hatuongei Kwa kuvutia kwetu au kuwapendelea. Tunajua nini tunakisema. Mbali na upendo tulionao Kwa Wanawake wetu lakini pia hakuna wakubadilisha ukweli huu kuwa Wanawake wetu ni Wazuri na watamu kiuhalisia.
Kama mnabisha kaonjeni wenyewe alafu mje hapa Taikon nawasubiri.

Pendeni wake zenu
Pendeni Binti zenu
Pendeni Mama zenu
Pendeni Wanawake wenu.
Hilo ndilo jukumu la mwanaume yeyote angali anaishi. Sio kupuyanga puyanga.

Nipumzike SASA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Pale unapoanza kuwapangia watu cha kusifia
 
Wakuu,

Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.

Nasema nimegadhabishwa kwa sababu mtizamo wa watanzania wengi umejikita kwenye utani wa kuwadhalilisha wanawake na kutweza uanaume kwa malengo yasiyofahamika.

Wachangiaji wengi wameonyesha kuwa vijana wengi wa Kitanzania hawana maadili na mawazo yao yamejikita zaidi kwenye masuala ya kingono kwa wanafunzi hao wa Ssudan na wameendelea mbele zaidi kuonesha kuwa wanaume wengi wa Tanzania fikra zao ni ngono tu na hawana jambo lingine wanalofikiria.

Nimestushwa hasa nilipoona kwenye baadhi ya magroup ya WhatsApp, redio, magazeti niliyodhani wana weledi wa kutosha kuhusu masuala ya kijamii kuangukia kwenye hoja kama hii, tena wengine ni wasomi wanaojinasibu kuwa wameelimika.

Tabia hii ya hovyo iliyooneshwa na wanajamii wenzetu inatuzalilisha kwa kiasi kikubwa na kutweza utu wetu sisi kama Watanzania, hasa nikirejea sakata lililotokea mwaka baada ya Klabu ya Simba kumsajili Mchezaji mmoja kutoka barani Ulaya ambapo waandishi wetu walijikuta wakifanya masihara kwa kumuita mzungu yaliyopelekea kuleta hisia za kibaguzi kwa mwana soka yule nguli kiasi cha kuamua kukatisha mkataba wake na kuondoka.
Usitufokee,
 
Asa kama Millard ayo kapost picha 10 9 za pisi kali afu moja tuh ndio yawanaume ulitegemea tusipagawe [emoji23]
Kwani Millard ayo ndio nan kwenye jamii yetu?!!
Huwa nashangaa sana watu kama hao kuonekana wanajua sana na kushikilia rimoti ya ufikiriaji wa watu wengi kwenye jamii.
Utasikia mtu mzima msomi mkubwa anasapoti Jambo/pointi kwa kusema eti si unaona hata Fulani kasema au kaposti....
 
Ungefika muhimbili kwanza ujiridhishe kisha uje kufungua uzi hapa jf
 
Bumbavu .

Watanzania wamelipokea au wameamua kujifurahisha.

Acha kuwa serious na mambo ya kipumbavu.

Wenzako wanafamya utani wewe unabung'aa tu
 
Back
Top Bottom