Ameandika kiushabiki tupu, na kama utafuatilia utawagundua wapo ACT na Membe na ZittoACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?
Hata ukisema wana nguvu Pwani, niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko Pwani uchaguzi mkuu uliopita?
Inshort, umeandika mambo mengi ambayo hayapo kabisa.
Una mguu mzuri.Unaumwa wewe...tupishe hebu
Ccm imenisaidia nini? Inanilisha? Imenisomesha?CCM ndo imekufanya wewe uwe na uwezo wa kuchat hapo ulipo ukiwa na cm yako kiganjani.
Unachat chochote kwa uhuru bila bughdha wala karaha.
Sio kweliCCM ndo imekufanya wewe uwe na uwezo wa kuchat hapo ulipo ukiwa na cm yako kiganjani.
Unachat chochote kwa uhuru bila bughdha wala karaha.
Bila kushirikiana na Membe hampati hata wabunge wanne.Cdm haina haja ya kuungana na virus wa lumumba, ni heri tukose kabisa kuliko kushirikiana na watu kama kina Mwambe na lowasa amabao nia yao ni kuimaliza cdm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga huo danganyaneni nyinyi wa lumumba. Kwa cdm mmekwama maana kila mtu yupo macho na ulaghaia wenuBila kushirikiana na Membe hampati hata wabunge wanne.
Membe kwanza kisha Lissu baadae.
CCM ndo roho ya Tanzania.Sio kweli
Tatizo tulilo nalo sisi wanachama wa hivi vyama ni kuvitazama kwa nje tu wala hatujisumbui kuchimba na kuona chimbuko la chama husika ni wapi au ni upi.
Amini nawaambia ukweli kuwa kuna baadhi ya vyama ni kichaka cha watu wa usalama ( kitengo) wapo kwenye hicho chama ili kuudanganya umma tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
usishangae ukakuta ni muuza magazeti ya uhuru na mzalendo na vijarida vya machangeSio kweli
Jamaa haaminiki kabisa nafikiri hata yeye ashagundua kuwa watu wamesha mstukia.Mimi huyo Zitto tangu ile issue ya miezi miwili kabla ya uchaguzi wa 2010 sijawahi kumuamini tena.
Waliojiandikisha kupiga kura ni mil 29.Ujinga huo danganyaneni nyinyi wakuna nazi wa lumumba. Kwa cdm mmekwama maana kila mtu yupo macho na ulaghaia wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa akili yako hapa umeandika nini wewe? Vitu vingine uwe unaandikia watoto wa shemeji yako kwenye blackboard ili mfundishane, siyo hapa GTWaliojiandikisha kupiga kura ni mil 29.
je unauhakika na wewe umo kwenye hao mil 29?
ili kushinda inabidi uwe na miundombinu na mbinu za miundo.
hizi nyenzo mbili zote Chadema hamna.
Mpo kwenye mitandao tu.
Bisha kama kubisha tu ila ukweli ndo huo.Ccm imenisaidia nini? Inanilisha? Imenisomesha? Wacha ujinga wako kule
Sent using Jamii Forums mobile app
InsaneBisha kama kubisha tu ila ukweli ndo huo.
bila CCM wewe usingekua hapo ulipo.
ACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?
Hata ukisema wana nguvu Pwani, niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko Pwani uchaguzi mkuu uliopita?
Inshort, umeandika mambo mengi ambayo hayapo kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ni lofa tu huyo usishangae ukakuta ni muuza magazeti ya uhuru na mzalendo na vijarida vya machange
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye kiti wa chadema ni CCM na ana kadi ya CCM ulishawahi kuona au kusikia alirudisha kadi?
Hata mimi bado ninayo card ya ccm maana zamani ulikuwa hupati kazi bila ya kuwa mwana chama wa ccm au uvccmMwenye kiti wa chadema ni CCM na ana kadi ya CCM ulishawahi kuona au kusikia alirudisha kadi?
Wee una taarifa kuwa Mkiti wako Taifa amewahi kujiunga na Nccr mageuzi? Mwakyembe na nape je?? Au ulikuwa bado hujaja duniani??Mwenye kiti wa chadema ni CCM na ana kadi ya CCM ulishawahi kuona au kusikia alirudisha kadi?